Askari watwangana hadharani

Askari watwangana hadharani

Hamna vita miaka takribani 40,unategemea nini? Wacha watwangane nimefurahi kusikia magereza waliibuka kidedea maana hawa mabaka wanajionaga konki kweli,subiri na mm wakijichanganya napasulia mbali
 
Acha uchochezi
Mwanangu ungekuwepo kuna lijamaa refu hivi limemshika jwt likambana mapajani hakufurukuta,,alafu likachukua T-shirt yake ya kijani likaivua na kuitupa kwenye mtalo cjui lilikuwa lina maanisha nini
 
Mwaka 2016 nilikutana na kombania ya askari magereza mjini moshi,walikuwa katika mazoezi ya kutembea km 12.Kwa ajili ya kujiandaa kupanda mlima Kilimanjaro.Walikuwa wako hoi nikapata wasaa wa kuzungumza na afisa kiongozi wao mwenyenye cheo cha ASP(nyota tatu).Katika mazungumzo yetu akanidokeza kuwa hawajawahi kutembea mwendo mrefu kiasi kile,nilishangaa sana.
Wakati kwenye mafunzo ya awali jeshini kutembea (route march) km 40 ni kawaida sana.
Sasa nashangaa wanaosema askari wa jeshi la ulinzi ambaye anafundishwa kuvuka vikwazo anapokuwa vitani eti hana utimamu wa mwili kama askari wa FFU au Magereza.
 
Ngoja ufungwe ndio utajua
Askari au Nini?
Magereza angalieni kijana analeta jeuri huku maana mnawachekea sana
Nasikia wale walioenda kujenga pale ukonga kuna kadhaa wametolewa meno baada ya kuleta dharau ,,
 
Hili ni la kuchekesha we unasikitikaje?

Matukio kama haya ndio yanafanya mtaa uchangamke....mie huwa nikikuta hivi njiani nasimama hadi mwisho wa show
umetisha mkuu
 
Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza

Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari magereza kuona anataka kuzidiwa akapiga simu ndipo baada ya muda mfupi wakatokea majamaa wawili wamevaa T-shirt za kijani nadhani za magereza,,,duh!!

Sikiuamini kama magereza wanajiamini vile kiufupi wameonesha umahiri,wamewachapa wale mabaka baka hadi mmoja nadhani jicho litakuwa limetolewa maana linaonekana kama limechanwa kabisa.

Wametokea traffic wameamua ugomvi na kumchukua mwanajeshi majeruhi hospitality nadhani

Nimesikitika kwanini askari wetu wadhalilishane mbele za RAIA?? Vijana wa kileo wanaoajiliwa maadili hakuna
Safi Sana , hongera zao
 
Acha kuchezea FFU mjomba,embu tembelea Ukonga pale ujionee.Wale jamaa siyo watu wazuri wapo wengine walienda Jordan na Marekani kupata mafunzo ya juu.Mafunzo hayo(madini) ndio wanawalisha FFU wote nchini.
FFU wadada tu. Pale ukong kazi yao kupiga raia.
 
Mwanangu ungekuwepo kuna lijamaa refu hivi limemshika jwt likambana mapajani hakufurukuta,,alafu likachukua T-shirt yake ya kijani likaivua na kuitupa kwenye mtalo cjui lilikuwa lina maanisha nini
Ni masharti ya mganga
 
Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza

Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari magereza kuona anataka kuzidiwa akapiga simu ndipo baada ya muda mfupi wakatokea majamaa wawili wamevaa T-shirt za kijani nadhani za magereza,,,duh!!

Sikiuamini kama magereza wanajiamini vile kiufupi wameonesha umahiri,wamewachapa wale mabaka baka hadi mmoja nadhani jicho litakuwa limetolewa maana linaonekana kama limechanwa kabisa.

Wametokea traffic wameamua ugomvi na kumchukua mwanajeshi majeruhi hospitality nadhani

Nimesikitika kwanini askari wetu wadhalilishane mbele za RAIA?? Vijana wa kileo wanaoajiliwa maadili hakuna
Vijana wanaoingia kwenye vikosi vyetu,wengi wao hawana nidhamu tangu wakiwa shule,
Wengi ni wale waliofanya vibaya,waliokuwa watukutu,wakorofi,wavuta bangi shuleni.
Recruitment inafanyika kindugu zaidi,na hapo lazima uingize majambazi jeshini.
Wale wanaokuwa reject kwenye mfumo wa elimu,ndio hao wanajeshi.
Uwezi kukuta ofisa wa jeshi mwenye nyota,anafsnya huo upuuzi.
Ukikutana na hawa private,wapo kama vibaka,kofia wanazivaa kama mateja,wanaficha macho,
 
Taarifa za jf nazo si za kuziamini sana bila picha ama video.askari mpaka wanakunjana basi hawajatambuana.

Taarifa ya juzi kwamba magereza na polisi wamepigana saa zima na mabomu ya machozi, nimefuatilia ni ujinga mtupu uliandikwa hapa.

Hii nayo yaweza kuwa chai tu.
Kweli mkuu ,,, hata Mimi nina mashaka sana na hii habari
 
Katika haya majeshi huwa kuna mafunzo ya kawaida ya kijeshi ambayo yanampa ajira mhusika na baada ya hapo kuna mafunzo ya ziada ta kumuongezea mhusika flani.mwanajeshi awe jw,magereza au polisi wa ffu aliyepata mafunzo maalum ya ziada hawezi kulingana kiuwezo na yule aliyepata Yale ya kawaida ya kumpa hiyo ajira.hivyo magereza aliyepata mafunzo maalum ya ujuzi wa mapigano huwezi kumlinganisha na jw aliyepata mafunzo ya kawaida sababu huyu magereza amebobea ktk shughur hiyo na anafanya mazoez ya Mara kwa Mara,jw pia wako wanajeshi wanaopewa mafunzo maalum ya kimapigano ya ziada hawa ndio wanaitwa makomando nao ni moto wa kuotea mbali na ni mahiri zaidi ya hao wa magereza au ffu sababu hawa wanapikwa kwa uweredi wa kupambana hata na magaidi ila sio rahisi kuwakuta mitaani au kuwajua.kwahyo msishangae hao jwtz kupigwa na hao magereza walioitwa sababu aliyewaita alijua hao ni kikosi maalum ambacho ni mahiri kwa mapigano na hao wakikutana na mwanajeshi wa kawaida lazima watamzidi tu sababu wana mafunzo ya ziada kwa shughuri hiyo.ni sawa na we we raia utake kupigana na bondia mtaani kwa asilimia kubwa utapigwa sababu mwenzako kupigana ni shughur yake rasmi na anaifanyia mazoezi ya mara kwa Mara.kwahyo sio jambo la ajabu lililoshuhudiwa maana mwanajeshi wa kawaida training zake zinabase hasa ktk matumizi ya bunduki na mbinu za kivita na mambo ya ngumi na karate kiasi tu ili asiwe boya jumla,lakini magereza hao walioitwa ni kikosi maalum cha kupigana ili kuzuia vurugu magerezani so wana mafunzo ya ziada na mazoezi ya ziada ktk kupigana.
 
Back
Top Bottom