Askari watwangana hadharani

Askari watwangana hadharani

magereza nao askari? hao ni raia wakakamavu
1103242
angalia hao mkuu
 
Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza

Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari magereza kuona anataka kuzidiwa akapiga simu ndipo baada ya muda mfupi wakatokea majamaa wawili wamevaa T-shirt za kijani nadhani za magereza,,,duh!!

Sikiuamini kama magereza wanajiamini vile kiufupi wameonesha umahiri,wamewachapa wale mabaka baka hadi mmoja nadhani jicho litakuwa limetolewa maana linaonekana kama limechanwa kabisa.

Wametokea traffic wameamua ugomvi na kumchukua mwanajeshi majeruhi hospitality nadhani

Nimesikitika kwanini askari wetu wadhalilishane mbele za RAIA?? Vijana wa kileo wanaoajiliwa maadili hakuna
wapigane tu tumechoka!!
 
Jwtz mnavyopewa sifa na raia basi mnajawa na ubabe,sasa tumeamua tuwaonyeshe kwa kuwatembezea kichapo ili mjue kila mtu ana weledi wa kazi yake,pia mjue kuheshimu kazi za wengine.
Endeleeni kuwapiga hao baba kanituma mkiingia miziki mingine mtatema nyongo
 
Kama wale wanaowasifia wale wavaa suit
Nawenyewe wanapenda sana kujipitisha pitisha, si umeona siku hizi wanavaa combat mkuu, mbaya zaidi wanavaa ya jangwani.

Unaweza usijue kucheza, lakini kama unaenda na beat hutaboa sana, kimbembe vyote kwa wakati mmoja.
 
Nawenyewe wanapenda sana kujipitisha pitisha, si umeona siku hizi wanavaa combat mkuu, mbaya zaidi wanavaa ya jangwani.

Unaweza usijue kucheza, lakini kama unaenda na beat hutaboa sana, kimbembe vyote kwa wakati mmoja.
Wale sifa nyingi na umbeya mwingi sana
 
Acha kuchezea FFU mjomba,embu tembelea Ukonga pale ujionee.Wale jamaa siyo watu wazuri wapo wengine walienda Jordan na Marekani kupata mafunzo ya juu.Mafunzo hayo(madini) ndio wanawalisha FFU wote nchini.
Usichukulie poa wazee wa kikosi maalumu wa magereza.
 
Kwenye basic military training hakuna tofauti.

Tofauti inaanza kuja kwenye kozi za baadae after ile basic military course (ukuruti)
Kurutu wa Polisi analala kwenye chandarua chenye dawa wakati kurutu Magereza JWTZ ana six wiki za bila kukutanisha kope.
 
Sijaandika popote kuwa nani ni zaidi na nani si zaidi.

(KM) hupatiwa mafunzo ya kutuliza ghasia ziletwazo na wafungwa.

(FFU) hupatiwa mafunzo ya kutuliza ghasia ziletwazo na raia tu.

(MP) hutuliza ghasia za askari.

Sasa basi kila kada inaubora katika eneo lake, kujua ngumi ama kutokujua hilo jambo ni la mtu binafsi hakuna pahala panapolazimisha ukitaka kuwa (FFU, MP, au KM) ni lazima ujue kupigana kinachotakiwa ni kuwa na utimamu wa mwili vingine ni ziada.

Mambo ya kusema FFU wanapigwa sijui na KM sijui na MP ni ya kimtaani tu yasiyo na mbele wala nyuma ni sawa na useme MWALIMU WA HISTORIA HAMUWEZI MWALIMU WA FIZIKIA UTAONEKANA FALA
Mkuu hayo majeshi yote tunayaona, tunachopimanisha ni utimamu wa askari wake na mafunzo wanayopata.FFU wanakula kozi wakiwa wanalala kwenye chandarua chenye dawa wakati KM na MP ni no sleep ,Tofauti inaanzia hapo .
 
Wewe QUOTE="Hussein Melkiory, post: 31534427, member: 350075"]
Endeleeni kuwapiga hao baba kanituma mkiingia miziki mingine mtatema nyongo
[/QUOTE]
Wewe umetumwa na nani? Au umaskini wa kwenu!!umekutuma ukapigwe na maisha jeshini?? Maana huko majeshini ni uzalendo tu utajiri utausikia kwenye vyombo vya hbr tu
 
Back
Top Bottom