Kiumri kwako siyo faza.Mkuu mbona me nakuheshimu sana ukizingatia ww ni senior, kiumri inawezekana ukawa ni faza kwangu.
kwann unafanya vitu ambavyo haviendani na ww ulivyo, kuna wale watu ambao huwa nawaona hapa JF kuna picha flani nakuwa nimeitengeneza jinsi walivyo kuanzia muonekano hadi haiba zao nakiri wazi umenidissappoint sana kwenye hili imekua tofauti na ninavyokuona kupitia reactions zako kwenye threads tofauti.
Hivi ni kweli kijana wako unaweza kumpa ushauri hasi kama ulivofanya?
Au, kuelezea changamoto ninayopitia nimekukosea mkuu?
Umenikosea sana mzee wangu,
Nimekuacha miaka 6 tu. So wewe ni mdogo wangu.
Na ndugu kutaniana ni sawa.
Hivyo tafuta mume uolewe