Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,840
Pole sana mkuu mungu akufanyie wepesi.
Amemfanyia uzito analialia.Pole sana mkuu mungu akufanyie wepesi.
View attachment 3384337
Tajiri mtabiri wa derby sijafika huko aiseee🤣🤣🤣Pole sana mkuu mungu akufanyie wepesi.
View attachment 3384337
😂😂😂 Sawa mkuu ila pole kwa kuiotazamia mbali tu kama mbingu.Tajiri mtabiri wa derby sijafika huko aiseee🤣🤣🤣
mkuu hujaona mtu ni mnene lakini ana kilo chache, na mwingine sio mnene sana lakini ana kilo nyingi, me sio kwamba mnene sana ila mrefu na uzito nimepima siku tano zimepita nilikua na kg 104Uongoo!!
Hata Aucho mwenyewe, kilo 80 hajafika, em weka picha tukuone hapa wee Kabufu.
![]()
😂😂 ObesitySalaam ndugu zangu wana JF.
Kwa siku mbili sasa nimekua napitia changamoto ya kusimamisha mnara..Nipo kwenye mahusiano na binti kutoka mkoa mojawapo wa nyanda za juu kusini.
Jumanne jioni kulitokea kutokuelewana kati yetu sisi, ikapelekea kusiwe na mawasiliano mazuri.
Baada ya kutokea mgogoro huo mdogo, kuna pisi nyingine nikawa na miadi ya kukutana nayo sasa kitu cha ajabu ni kwamba nilishindwa kusimamisha pindi nilipokua na huyu bibie mwingine, ambaye sio mara ya kwanza kushiriki naye sex.
Haikuishia hapo, mimi nina kawaida ya kusimamisha mara kwa mara, haijalishi nimekaa, natembea au nimelala huwa nasimamisha...sasa kwa hizi siku mbili hali imekua tofauti sana.
Muda mwingi mjeshi anakua hasimami ipasavyo, na ikitokea amesimama ni kwa unyonge tofauti na kawaida.
Kuna muda nafikiria huenda huyu bibie ambae nimepishana nae kuna namna amefanya, au inatokea tuu, binafsi hii hali haijawahi kunitokea kabla.
Au pengine ni uzito unachangia kuwa hivi, Nina 26 yrs, 104 kg na urefu ni fut 6.
Nafanya mazoezi mara moja kwa wiki(weekend).
Ila kegel na mazoezi madogo kama push-up nafanya karibu kila siku.
Ndugu zangu, brothers na wazee wangu naombeni msaada wenu kuhusiana na hii changamoto ninayopitia nimekua na stress sana... shukrani.
Karibuni sana wanajamii
ni sahihi najitahidi kupunguza lakini kubadili mfumo wa maisha kuanzia ulaji, kufanya mazoezi na muda wa kupumzika ili niwe sawa..nakiri wazi kuna namna mifumo yangu imekuwa tofauti na mwanzo huenda ni sababu ya hii changamoto.Poleee Sana kinacho kumaliza nistrees
ni sahihi najitahidi kupunguza lakini kubadili mfumo wa maisha kuanzia ulaji, kufanya mazoezi na muda wa kupumzika ili niwe sawa..nakiri wazi kuna namna mifumo yangu imekuwa tofauti na mwanzo huenda ni sababu ya hii changamoto.Poleee Sana kinacho kumaliza nistrees
Acha uoga dogo hizo zote ni imagination hakuna uhalisia haponi sahihi najitahidi kupunguza lakini kubadili mfumo wa maisha kuanzia ulaji, kufanya mazoezi na muda wa kupumzika ili niwe sawa..nakiri wazi kuna namna mifumo yangu imekuwa tofauti na mwanzo huenda ni sababu ya hii changamoto.
Nakazia hapa..Pole Sana.. Fanya Mazoezi, Kunywa maji mengi, Punguza stress