Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,636
- 3,807
Ungetafutwa kwa kosa la wizi na si kuokota.Miye na kazi naacha, umeona ss yule mwenye begi hata mia hajampa.
Fact young bro.Ok kanuni zipo hivi. Ukiona mtu kadondosha kiasi hicho cha pesa na wewe umekiokota jua ni mother nature imefanya yake in favour of you. Na mara nyingi mtu carelessly anaanzaje kudondosha mzigo wa 10M? Jua hata namna alivyo zipata sio namna nzuri (legal ways.) Okota tia kibindoni maisha yaendelee.
Alisikika jamaa mmoja hivi
Malipo Ni hapa hapa DunianiUsirudishe kwani ni hela yako? Hutakiwi hata kuumia maana ni hela ambayo haikuhusu..
Kuna dogo alikuwa na itikadi kama hizo, ooh mm nikiokota kitu sirudishi. Kesho yake tu kapanda gari simu akaisahau kwenye gari, watu wenye roho kama yake wakapita nayo. Akaja kwangu analaani vibaya eti kwanini aliyeokota hajamrudishia
Sent using Jamii Forums mobile app
Jua namna alivyo ipata hiyo simu kuna mahali aliumiza wenzake kwa namna moja ama nyingine😆 ni sheria za asili zipo ktk utendaji wakeUsirudishe kwani ni hela yako? Hutakiwi hata kuumia maana ni hela ambayo haikuhusu..
Kuna dogo alikuwa na itikadi kama hizo, ooh mm nikiokota kitu sirudishi. Kesho yake tu kapanda gari simu akaisahau kwenye gari, watu wenye roho kama yake wakapita nayo. Akaja kwangu analaani vibaya eti kwanini aliyeokota hajamrudishia
Sent using Jamii Forums mobile app
FactKuna watu walizaliwa kuwa masikini au kuwa wafanyakazi wa wengine...nimeishakutana sana na watu wa aina hii yaani hata ungempa ishu ya pesa ambayo iko wazi ili yeye amalizie tu huwa wanaishia kuharibu
Jua namna alivyo ipata hiyo simu kuna mahali aliumiza wenzake kwa namna moja ama nyingineni sheria za asili zipo ktk utendaji wake
Huyo angetafutwa tu na kupatikana..micamera ya jkci ingemgundua..Miye na kazi naacha, umeona ss yule mwenye begi hata mia hajampa.
Wema hauozi.
Million kumi ni ndogo tu.
Nikiwa mdogo mzee aliwahi kunisimulia kisa cha padre aliedondosha burungutu la pesa kwa makusudi..alipita mkurima mmoja mwenye haliduni ambae hata mavazi yake ni ya kuunga unga..akawa ameliokota begi la fedha alilolidondosha padre na kuliludisha kwa padre..unaambiwa padre alimtandika vibao jamaa na hakumpa hata senti tano..na mwisho wa siku alimuambia utakufa masikini mbwa wewe😁😁😁