KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,291
Tena sanaaa!Inasikitisha sana.
Ila watu wengine watakuja na mitazamo tofauuuti.
Ha ha ha ha ha ha !!!! Including me!Ila watu wengine watakuja na mitazamo tofauuuti.
Daah..
Askari huyu shujaa sana kwa uokoaji
Muokolewaji safi sana.
Kabisa mdau,jamaa am sure atapandishwa cheoKulikuwa na haja ya kumuokoa kwakweli,hongera ndg askari kwa ushujaa wako
Ndo nashangaa amejuaje?!Wewe ni wa kwanza..
weka zingine mkuu, mi sina.Katika picha zote zile uliiona hiyo tu mkuu?