Askari wa Kenya akimwokoa Mwanachuo

Askari wa Kenya akimwokoa Mwanachuo

Ila watu wengine watakuja na mitazamo tofauuuti.

Inabidi uwazoee Zenith
Jamaa mmoja alikuwa anafanya research:

Akamwambia Ali Choki..leta ngoma..Ali Choki akampelekea "drum"
Akaenda kwa massawe akamwambia leta ngoma..massawe akamletea machinegun
Akafika uwanjani akapiga kelele: lete ngoma huku..Khalfani Ngassa akampasia mpira
Akafika kwa daktari akamuuliza " nitapata wapi ngoma" daktari akamwambia katembee peku na machangu utapata
Kakaa kijiweni kawasikia jamaa wanamuongelea demu anayepita "ile ngoma ya Bob Cide

Bottom line huwa tunatafsiri vitu kutokana na interest na fani zetu
 
Back
Top Bottom