Askari wa Kenya akimwokoa Mwanachuo

Askari wa Kenya akimwokoa Mwanachuo

Binti huyo yuko traumatized, kumbuka wanafinzi wamevamiwa saa kumi na moja asubuhi wakakurupuka kukimbia wakiwa wamevaa night dress au underwear tu, kwa hiyo wakati wa kuwaokoa ilibidi kwanza kuwahakikishia kwamba wao maskari ni vyombo vya dola siyo al shabab, na pili wakishawaokea kuwahakikishia usalama na kuwaonyesha upendo mkubwa ili akili zao zitulie.
Uko sawa Mama Mdogo
 
Last edited by a moderator:
Natamani mabinti mujifunze kitu hapo. Kulala umejisitiri kunafaa sana haswa wakati huu ambapo dini zinaenezwa kwa kuua makafir. Huwezi jua wanatokea lini na wapi, hivyo ukitoka nduki, uwe umejitayarisha.
Mhurumieni mwenzenu, labda jamaa ampe kombati yake

Hivi na joto hili mtu alale na miguo kama anaenda vitani ili, hiyo nguo ni sahihi kuvaliwa usiku, kwanza huyo kajitahidi bila shaka wapo waliokutwa na pichu tu, nao ni sahihi tu.
 
Hivi na joto hili mtu alale na miguo kama anaenda vitani ili, hiyo nguo ni sahihi kuvaliwa usiku, kwanza huyo kajitahidi bila shaka wapo waliokutwa na pichu tu, nao ni sahihi tu.

Apologise Lady;
Nakuunga mkono kabisa kabisa lakini kumbuka hali ilivyo huko Kenya. Sjui ka uliwahi kupitia jeshini. Miye nlibahatika kupitia National Service tu. Hivi pale Ruvu JKT huwa wanalala na pichu??
Kwa hali ilivyo, ukiwa kenya popote, ukilala na pichu unajitakia kuumbuka tu. Mtatolewa nje kwa corido muwekwe kwa foleni halafu ndo utajuta kuzaliwa. Hata ka ni mchepuko umeokota huko, do huku mmeshusha nguo zile mwisho magotini, yakiwaka huko nje mnasimama na kufunga mikanda tu, naye anashusha nguo tu. Ni ka ushauri tu kwa walio katika hali hiyo ya hatari. Miye wangu hulala ka alivyo zaliwa lakini najua alipo ziweka nguo. Nitazichukua haraka nikimbie nazo mkononi nkamvikie nje huko. Cheeza nininiiii
 
Kweli lakini sisi bado hatujafikia hatua hiyo, tukifikia hatua hiyo bila shaka nitalala na combat na bullet proof hadi asubuhii, hahahahahaha, hayo ni matesoooooooooooooooooooooooooooooo
 
Kiulaini kama siyo mjeda vile, kumbe gwanda zishamchoresha.
 
Apologise Lady;Nakuunga mkono kabisa kabisa lakini kumbuka hali ilivyo huko Kenya. Sjui ka uliwahi kupitia jeshini. Miye nlibahatika kupitia National Service tu. Hivi pale Ruvu JKT huwa wanalala na pichu??Kwa hali ilivyo, ukiwa kenya popote, ukilala na pichu unajitakia kuumbuka tu. Mtatolewa nje kwa corido muwekwe kwa foleni halafu ndo utajuta kuzaliwa. Hata ka ni mchepuko umeokota huko, do huku mmeshusha nguo zile mwisho magotini, yakiwaka huko nje mnasimama na kufunga mikanda tu, naye anashusha nguo tu. Ni ka ushauri tu kwa walio katika hali hiyo ya hatari. Miye wangu hulala ka alivyo zaliwa lakini najua alipo ziweka nguo. Nitazichukua haraka nikimbie nazo mkononi nkamvikie nje huko. Cheeza nininiiii
Utaumbuka kivip wakati ukishindwa kutoa aya, unatwangwa risasi na kufa?
 
Utaumbuka kivip wakati ukishindwa kutoa aya, unatwangwa risasi na kufa?

Kaka Jambazi;
Nife sawa tu lakini nimevaa nguo. Hao jamaa wana kiu ya kunywa damu tu si kuua. Damu ingekuwa jasho hao wasinge ua mtu.
Hayo ni majinamizi masubiani wanaotembea kwa mgongo wa dini flan.:juggle::tinfoil3::tinfoil3:
 
mbele ya hawa jamaa, wakiingia kama niko bafuni hata boxer sibebi, bora nje wanione mwehu tu, ni nduki kwa kwenda mbele

Ndo mana vyuoni wanaume mnaambiwa muoge na pichu.
Imagine unakutana nami koridoni ukipepesa dhakari,.....
 
Yaan waliokufa ni wengi kweli jamanii
 
Back
Top Bottom