Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Ishu siyo mtu, ni matukio. Huyu IGP aliwahi kuambiwa na Jiwe akiwa RPC DAR awanyang'anye hawa wajinga silaha haraka haraka na ndo maana ujambazi ulipungua wakati ule, leo mama kadokezwa kuwa ule ujinga umerudi so amemkumbusha Siro, asipime kina cha maji. Siku zote majambazi ni Polisi, yaani aendelee pale Jiwe alipoachiwa. MUHIMU, MAJAMBAZI NI ASKARI POLISI, Period
 
Rais anataka kusema dawa ya ujambazi Dsm anayo huyo askari mmoja pekee? kwani yeye mafunzo yake aliyapatia wapi tofauti na hawa wengine?

Awe makini na hizi kauli zake, zitashusha ari ya kazi kwa hawa askari waliopo, vyema serikali yake itoe msaada unaohitajika mengine amuachie IGP ayamalize.
Anataka kusema Mambosasa hafai

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6

Halijojo ni wewe uliye na ubongo ulioganda, hamaanishi kwamba huyo jamaa ni hvyo unavyofikiria wewe, ntakupa mfano., uchaguzi uliopita mwendazake alileta waburundi je Tanzania hakuna Jeshi la polisi imara ku-deal na uchaguzi hasa kwa wananchi ambao hawatumii silaha? Mbona alileta warundi?
 
Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Hayo majambazi ni sukuma gang mnataka kumkwamisha mama. Kwani mwendazake yeye alikuwa anatumia nini, siyo kwamba aliwajua na akawaambia wasimsumbue? Au ni wale waganga wenu?. Shenz wakubwa nyie. Muacheni mama afanye yake
 
Hhujawai kuona wazazi ambao hawajamaliza la saba ila wamefikisha mtt chuo kikuu na wazazi ambao ni ma profesa wakashindwa kufikisha mtt chuo kikuu?
Je huyo wa chuo kikuu/msomi anafanya kazi pekeake kutokomezA tatizo?
Je changamoto za jeshi la polisi kudhibiti umezifanyia uchunguzi na kupata majibunkuwa tatizo ni darasa la saba?
Kuna maeneo mengi ya kimedani na hata kiuongozi ambapo form four failure ambao automatic wanakuwa std seven wamewazidi wasomi wetu uwezo.

Pia mawazo yangu hii ni km kiashiria cha tatizo inakupasa tufanye utafiti tuje na majibu yasio na kebehi ila sululisho la kudumu lipatikane .
Watanzania wengi tunapenda kuonyesheana vidole na lawama kuliko kuonyesha ufumbuzi wa tatizo linalotukabili.
Huyo mambosaa Ni pro-meko, na watu wa dizaini hiyo mama hawataki.
Form four failure huyo mambosaa,
Huyo mambosaa Ni pro-meko, na watu wa dizaini hiyo mama hawataki.
Form four failure huyo mambosaa,
 
Rais anataka kusema dawa ya ujambazi Dsm anayo huyo askari mmoja pekee? kwani yeye mafunzo yake aliyapatia wapi tofauti na hawa wengine?

Awe makini na hizi kauli zake, zitashusha ari ya kazi kwa hawa askari waliopo, vyema serikali yake itoe msaada unaohitajika mengine amuachie IGP ayamalize.
Ujawahi kuona hata maofisini kuna mfanyakazi Bora? Japo wapo wengi wenye uelewa sawa ila mmoja akawa bora kuliko wengine. Haipunguzi morale kwa wengine ila inaongeza bidii kwa wengine.
 
Back
Top Bottom