Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 12,726
- 19,874
:Aise askari mgambo wakishirikiana na askari kanzu waliokuwa wamejichanganya na waandamanaji wamefanya kazi nzuri sana.Nilichogundua kumbe FFU na police wameshazoeleka na hawa waandamanaji.KAMA NINGEKUWA NATOA POSHO WAGAMBO NINGEWAPENDELEA SANA.
Source: mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye tukio.
Source: mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye tukio.