Askari JWTZ aua askari mwenzake na raia kwa risasi

Askari JWTZ aua askari mwenzake na raia kwa risasi

Very good...

Linapokuja suala la maslahi na mahusiano.
Ni bora kuua kuliko kuuliwa.

Nikiunga unga hizi simulizi nagundua kuwa mapenzi... Na dharau ndio chanzo cha mawazo yoote yaliyopolekea mauaji.

Sidhan kama kuna aliyekufa ambaye hana hatia kati yao..

Rai yangu kwa nyie wanawake.

Hii mambo ya kujazana ujinga na kuegemea maamuzi ya ofisi sio vizuuri...jifunzen njia sahihi ya kukidhi matakwa yenu.

Pesa umepewa... Mtoto ukasahau.
Ukapewa fidia mtoto umesahau.
Umemaliza vyoote unataka mtoto.
Unaenda mahakamani unataka uende na kazini kwake...

Kukaa kwake kimya haukuwah kuwaza km anafurahishwa au kuchukizwa na unayoyafanya...

Ni haki yake tu kufa anarudisha maendeleo ya watu nyuuma...

Asipumzike kwa amani.... Kesi atadeal nayo MUNGU juu uko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kula 5 Mkuu. Uko sahihi 100%. Baadaï ya kuharibikiwa kule alikofikiria ni nchi ya maziwa na asali akaamua kurudi kwa kisingizio cha kutaka kumwona mtoto. Ni "common tactics" za wanawake wengi ambao wanajutia kuvunja ndoa zao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu ni kuishi nao kwa akili kama biblia ilivyoagiza na kumuomba Mungu sana atusaidie.

Poti kajitahidi kwa uwezo wake kuishi na huyu mtu kwa akili lakini bado shetani alikuwa hataki kumuachia.

RIP kwa huyo huyo mzee aliyejaribu kumzuia askari naye yakamkuta-ila umbea na fununu zinazidi kudai kwamba naye afisa kiongozi wa camp alikuwa anatumia hiyo mama.ndio maana ikapata backup nzuri pamoja na maamuzi ya awali kuwa yameishatolewa.
 
Mkuu mrangi inaelekea huyo askari alikuwa na utaalam wa matibabu. Lakini kumbuka vile vile alikuwa ni askari hivyo anaweza kuapngiwa lindo hasa kama amefanya kosa na akapewa adhabu ya kulinda kijeshi wanasema ''amelimwa guard''. Ndiyo sheria za kijeshi zilivyo. Kwa mfano kukosekana kwenye paredi ni kosa tosha la kulimwa guard, au kupiga saluti vibaya!
Mkuu ukiwa hospital mbona siku hizi utaratibu unaingia guard kama kawaida sema siku ya kuingia guard zamu ya kawaida hauingii ile ya adhabu(KZ) ni tofauti na zamu ya kawaida
 
Askari ambaye ni mganga akiwa lindoni?hapo kdg sijaelewa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hivi jeshini kuna taaluma mbalimbali kuna mainjini,madaktari,waandishi wa habari,walimu,manesi,marubani,wataalamu wa mawasiliano n.k Wote ķila mmoja ana taaluma yake ila mafunzo ya uaskari wote wanasoma kozi moja.
Kwa muktadha huo inapofikia swala la ulinzi mfano guard kila mmoja anashiriki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu asante kwa ku share hii story. Unajua wanawake wengi focus yao iko kwenye maisha ya leo. Anaweza kuchukulia na mtu mgeni kabisa kwa sababu tu anamuona amevaa vizuri na ana gari akamwacha mwanaume waliyeishi pamoja na mwenye mipango mizuri ya baadae. Halafu hawaishi kurudi na kuomba msaada.
Tatizo huwa wanajisahau kuwa wameharibu future ya mtu, then wanajirudisha kutaka kuyajenga wakati waliemharibia future yake ana makovu moyoni.

Sent using Sattelite c1175b
 
hii stry mie nimeipata ikiwa ya moto moto jana usk... ya kuhusu huyu mjeshi alomuua vero..jirani yangu ni ndugu na huyo veronika..huyu bibie inasemekana alikua ameolewa na huyo mjeshi..wakaamua kuachana...ila ss upande wa kike ukasema mtoto wao amepotezewa muda wakataka 8m..kumbuka hapo huyu kaka akaamua auze nyumba wakawagan 12m@[emoji4]! ndo wazaz wa vero wakataka 8m za faini.. so jumla bibie akapewa 20m..jamaa akabak na 4m..wakaandikishiana kbs asije kumsumbua mtoto coz ababak na baba..mtoto alikua mdogo bado
Sijuo bibie umepita mwaka akaanza kumpa kashi kash huyu mjeshi aking'ang'aniza ampe mtoto..bidada akafungua kesi mahakamn..inasema hapa ni baada ya 20m kuisha akamkumbuka mtoto.. akawa anamfanyia vitimbi balaa..ndo akapewa barua ya kuitwa mahakamn..
Sasa amefika pale na mashost kwa mbwembwe..jamaa naskia akamaambia veronika unanitakia nn ww? bibie akamjibu ovyo..jamaaa hakujiuliza mara 2 akamfyatulia risasi...ss hawa wengine wakawa wanaamulia sijui ugomv akatandaza risasi mtu 4 zikafa palepale...! naskia huyu kaka mpole kwel kweli ila familia ya mke ilikua zaidi ya majanga ya nchi hii!
pole sana ww mjeshi!
Nasikia pia huyo Dada alikua anatoa papuchi kwa huyo afande mwingine ndio mana demu na huyo mjeshi ote wamekula za moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia pia huyo Dada alikua anatoa papuchi kwa huyo afande mwingine ndio mana demu na huyo mjeshi ote wamekula za moto

Sent using Jamii Forums mobile app

Inawezekana..mie nimesikia kuwa mjeshi alooua amesema hajajutia alikua amepanga kufanya hvyo inasemekana alowaua wajeshi wenzie walikua wamamforce bidada alete kesi jeshini..kwahyo akajua ana wabaya wake pale akaamua kuwamaliza
 
Nasikia risasi zilimkosa kosa kamanda kikosi pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sidhan km wajeshi ni wastaaarabu..hapana kbs aisee..nilikua na ex mjeshi .naskia nw kaoa anapga mkewe had anazimia..alafu majiran wapo tu hawasemi kitu eti wanaogopa😂😂!mjeshi anipite hv jaman..
Hahaa, Wanajeshi wanazingua mno.baada ya kupitia vipindi vigumu katika mahusiano,nimebahatika kukutana na binti mmoja,ni mjeda,,huyu bi dada aliachana na ex wake mwaka mmoja ulopita ambaye naye pia ni Mjeda.. inasemekana walidumu kwa miaka minne.
Cha kushangaza jamaa baada ya kusikia huyu ex wake amesha pata jamaa mwingine ambaye ndo mimi,ameanza harakati za kutaka kunifahamu kwa udi na uvumba(sijajua lengo lake bado)..na anamlazimisha bibie (mjeda mwenzake) warudiane..demu anamlia ngumu.
 
Rip in advance mkuu

😯😯huogopi mkuu?mm sipend ht kuwa nao urafiki in any means
 
hii stry mie nimeipata ikiwa ya moto moto jana usk... ya kuhusu huyu mjeshi alomuua vero..jirani yangu ni ndugu na huyo veronika..huyu bibie inasemekana alikua ameolewa na huyo mjeshi..wakaamua kuachana...ila ss upande wa kike ukasema mtoto wao amepotezewa muda wakataka 8m..kumbuka hapo huyu kaka akaamua auze nyumba wakawagan 12m@😊! ndo wazaz wa vero wakataka 8m za faini.. so jumla bibie akapewa 20m..jamaa akabak na 4m..wakaandikishiana kbs asije kumsumbua mtoto coz ababak na baba..mtoto alikua mdogo bado
Sijuo bibie umepita mwaka akaanza kumpa kashi kash huyu mjeshi aking'ang'aniza ampe mtoto..bidada akafungua kesi mahakamn..inasema hapa ni baada ya 20m kuisha akamkumbuka mtoto.. akawa anamfanyia vitimbi balaa..ndo akapewa barua ya kuitwa mahakamn..
Sasa amefika pale na mashost kwa mbwembwe..jamaa naskia akamaambia veronika unanitakia nn ww? bibie akamjibu ovyo..jamaaa hakujiuliza mara 2 akamfyatulia risasi...ss hawa wengine wakawa wanaamulia sijui ugomv akatandaza risasi mtu 4 zikafa palepale...! naskia huyu kaka mpole kwel kweli ila familia ya mke ilikua zaidi ya majanga ya nchi hii!
pole sana ww mjeshi!
Huyo Veronika pumbavu zake huko huko alipo. Tena na kaburi lake lilipuliwe na bomu.
 
Huyo Veronika pumbavu zake huko huko alipo. Tena na kaburi lake lilipuliwe na bomu.

Amekosea sana...wanadai mjeshi atashinda hyo kesi coz hata maandikishiano yapo..walishakubaliana asimtafte hata mtoto mama akakubali...nasikia alikua anashinda anakunywa pombe..kwa zile pesa alizopewa zimeisha akamkumbuka mtoto
 
Back
Top Bottom