Askari JWTZ aua askari mwenzake na raia kwa risasi

Askari JWTZ aua askari mwenzake na raia kwa risasi

Lindo huwa wanapewa ofa wasiende, sasa kwa hapa sijui ilikuaje labda adhabu/uhaba wa askari. Maana ktk uuguzi kuna night pia sasa ukimchanganyia na malindo daaah [emoji848][emoji1745]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hio mkuu unaweza kua na degree yako ya udokta(MD) na ukaingia lindo na msela ambae ni class 7?
 
Kwa hio mkuu unaweza kua na degree yako ya udokta(MD) na ukaingia lindo na msela ambae ni class 7?
Soma vizuri maelezo yangu. Askari daktari kwa nature ya kazi yake anaingia night sio lindo( yaani anakua eneo la kutibia wagonjwa) ndomana nikasema kwa nature ya tukio hilo huenda kulikua na uhaba wa askari siku husika au alipewa adhabu aende lindo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aseeh lakini hapo kwa mjeda kesi hakuna
coz wao wana mahakama zao.
hapo atapelekwa kule kigoma kwenye mateso yao baada ya muda atabadilishiwa lindo

ila wanawake nao wamezidi khaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kwamujibu wa sheria ya wapi wewe std 7.!!
Zile mahakama za kijeshi zipo kwaajili ya makosa ya kijeshi tu na sio makosa ya jinai.
No one is above the criminal Laws

5/5.
 
Ni kawaida sana!
Nina msela wangu(police) ana masters ila anaingia lindo tena la bank.
Kwa hio mkuu unaweza kua na degree yako ya udokta(MD) na ukaingia lindo na msela ambae ni class 7?

5/5.
 
Ni kawaida sana!
Nina msela wangu(police) ana masters ila anaingia lindo tena la bank.

5/5.
Mkuu Polo TPDF hawana utaratibu huo. "Graduate" kama siyo "leader* basi ni "potential leader" na kwenye medani za vita huwa kuna askari na viongozi wa kuwaongoza katika vita hivyo na ni RAHISI kumfundisha "graduate" kuwa kiongozi kuliko yule ambaye si "graduate" ingawa nawezekana sana kumpata kiongozi mzuri tu asiye "graduate".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii stry mie nimeipata ikiwa ya moto moto jana usk... ya kuhusu huyu mjeshi alomuua vero..jirani yangu ni ndugu na huyo veronika..huyu bibie inasemekana alikua ameolewa na huyo mjeshi..wakaamua kuachana...ila ss upande wa kike ukasema mtoto wao amepotezewa muda wakataka 8m..kumbuka hapo huyu kaka akaamua auze nyumba wakawagan 12m@😊! ndo wazaz wa vero wakataka 8m za faini.. so jumla bibie akapewa 20m..jamaa akabak na 4m..wakaandikishiana kbs asije kumsumbua mtoto coz ababak na baba..mtoto alikua mdogo bado
Sijuo bibie umepita mwaka akaanza kumpa kashi kash huyu mjeshi aking'ang'aniza ampe mtoto..bidada akafungua kesi mahakamn..inasema hapa ni baada ya 20m kuisha akamkumbuka mtoto.. akawa anamfanyia vitimbi balaa..ndo akapewa barua ya kuitwa mahakamn..
Sasa amefika pale na mashost kwa mbwembwe..jamaa naskia akamaambia veronika unanitakia nn ww? bibie akamjibu ovyo..jamaaa hakujiuliza mara 2 akamfyatulia risasi...ss hawa wengine wakawa wanaamulia sijui ugomv akatandaza risasi mtu 4 zikafa palepale...! naskia huyu kaka mpole kwel kweli ila familia ya mke ilikua zaidi ya majanga ya nchi hii!
pole sana ww mjeshi!
Sisi watanzania ni wataalam wa kutengeneza na kueneza uzushi!!..very sad.
 
Back
Top Bottom