Mbona kawaida namfahamu mwanasheria pia ni askari magereza...lindo anafanyaga kama kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kawaida namfahamu mwanasheria pia ni askari magereza...lindo anafanyaga kama kawaida
Kama umeongea kitu hapaYani kaua askari mwenzie na demu, dizaini huyo mwenzie alikua anagongea lindoni akamnyima mtungo mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo askari anaitwa Adam kurwa Mganga..... Sio kama alivyoandika hapo
Hawasemi na ndo basi tenaMwandishi hajacover vizuri hiyo story ya Vero na Wanajeshi hapo Chandarua, kuna mengi yaliibuka kabla ya kumimina risasi.
Hapana ni kazi ya putin[emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kamanda wa JWTZ kaamua kufanya kazi ya mungu.
hii stry mie nimeipata ikiwa ya moto moto jana usk... ya kuhusu huyu mjeshi alomuua vero..jirani yangu ni ndugu na huyo veronika..huyu bibie inasemekana alikua ameolewa na huyo mjeshi..wakaamua kuachana...ila ss upande wa kike ukasema mtoto wao amepotezewa muda wakataka 8m..kumbuka hapo huyu kaka akaamua auze nyumba wakawagan 12m@[emoji4]! ndo wazaz wa vero wakataka 8m za faini.. so jumla bibie akapewa 20m..jamaa akabak na 4m..wakaandikishiana kbs asije kumsumbua mtoto coz ababak na baba..mtoto alikua mdogo bado
Sijuo bibie umepita mwaka akaanza kumpa kashi kash huyu mjeshi aking'ang'aniza ampe mtoto..bidada akafungua kesi mahakamn..inasema hapa ni baada ya 20m kuisha akamkumbuka mtoto.. akawa anamfanyia vitimbi balaa..ndo akapewa barua ya kuitwa mahakamn..
Sasa amefika pale na mashost kwa mbwembwe..jamaa naskia akamaambia veronika unanitakia nn ww? bibie akamjibu ovyo..jamaaa hakujiuliza mara 2 akamfyatulia risasi...ss hawa wengine wakawa wanaamulia sijui ugomv akatandaza risasi mtu 4 zikafa palepale...! naskia huyu kaka mpole kwel kweli ila familia ya mke ilikua zaidi ya majanga ya nchi hii!
pole sana ww mjeshi!
Nadhani alikuwa analinda wagonjwa
Mtu alieingia jeshini sio wa kumchezea, wanajeshi na mapolisi huwa wana stress sana, wale kukufyatulia risasi huwa ni dk 1
Wanajeshi huwa ni wastaharabu sana ila ukiwatibua ndio majanga yake haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!!!hii stry mie nimeipata ikiwa ya moto moto jana usk... ya kuhusu huyu mjeshi alomuua vero..jirani yangu ni ndugu na huyo veronika..huyu bibie inasemekana alikua ameolewa na huyo mjeshi..wakaamua kuachana...ila ss upande wa kike ukasema mtoto wao amepotezewa muda wakataka 8m..kumbuka hapo huyu kaka akaamua auze nyumba wakawagan 12m@[emoji4]! ndo wazaz wa vero wakataka 8m za faini.. so jumla bibie akapewa 20m..jamaa akabak na 4m..wakaandikishiana kbs asije kumsumbua mtoto coz ababak na baba..mtoto alikua mdogo bado
Sijuo bibie umepita mwaka akaanza kumpa kashi kash huyu mjeshi aking'ang'aniza ampe mtoto..bidada akafungua kesi mahakamn..inasema hapa ni baada ya 20m kuisha akamkumbuka mtoto.. akawa anamfanyia vitimbi balaa..ndo akapewa barua ya kuitwa mahakamn..
Sasa amefika pale na mashost kwa mbwembwe..jamaa naskia akamaambia veronika unanitakia nn ww? bibie akamjibu ovyo..jamaaa hakujiuliza mara 2 akamfyatulia risasi...ss hawa wengine wakawa wanaamulia sijui ugomv akatandaza risasi mtu 4 zikafa palepale...! naskia huyu kaka mpole kwel kweli ila familia ya mke ilikua zaidi ya majanga ya nchi hii!
pole sana ww mjeshi!
..tatizo ni nyie wanawake halafu mnapenda kuzingua sana, mbona wanajeshi kibao wanaishi na familia zao kwa amani na upendo?sidhan km wajeshi ni wastaaarabu..hapana kbs aisee..nilikua na ex mjeshi .naskia nw kaoa anapga mkewe had anazimia..alafu majiran wapo tu hawasemi kitu eti wanaogopa[emoji23][emoji23]!mjeshi anipite hv jaman..
..tatizo ni nyie wanawake halafu mnapenda kuzingua sana, mbona wanajeshi kibao wanaishi na familia zao kwa amani na upendo?
NB. Mwanamke haokotwi barabarani kama vipi rudi kijijini/mtaani kwenu kaopoe dem mkali akikuheshimu mtaishi kwa amani
Sent using Jamii Forums mobile app