Askari JWTZ aua askari mwenzake na raia kwa risasi

Askari JWTZ aua askari mwenzake na raia kwa risasi

Yani kaua askari mwenzie na demu, dizaini huyo mwenzie alikua anagongea lindoni akamnyima mtungo mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo kitu kwa avatar yako inaonekana Konki sana hiyo kula kavu ukipiga mixa unaiharibu kichwa kula kavu.huwa nikirudi nyumbani nakula vitu OG
 
Nakumbuka stori moja ya mjeda alikuwa anakaa ****** na mkewe bahati mbaya wakagombana ndipo mwanamke akaenda mahakamani kuomba waachane na wagawane mali. Mjeshi hakukataa, wakagawana vizuri viwanja mashamba na hata vyombo vya ndani vyote mke alivichukua yeye. Mjeshi baada ya hilo kupita akachukua mkopo NMB na kununua kiwanja na kujenga nyumba pamoja na kununua vyombo vya ndani. Aft 3yrs yule mwanamke akamtafuta yule mjeshi na kutaka warudiane huku mwanamke akiwa broke kinoma hakuwa na kiwanja wala chochote kumbe alipoachana na mjeshi na yeye viwanja alihonga kwa kamchepuko kake. Haki ya Mungu sometimes wanawake mnatia hasira za kuua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu asante kwa ku share hii story. Unajua wanawake wengi focus yao iko kwenye maisha ya leo. Anaweza kuchukulia na mtu mgeni kabisa kwa sababu tu anamuona amevaa vizuri na ana gari akamwacha mwanaume waliyeishi pamoja na mwenye mipango mizuri ya baadae. Halafu hawaishi kurudi na kuomba msaada.
 
Hivi polisi wa tanzania wanakitengo cha forensic science? Kuna baadhi ya documentaries za kiuchunguzi wa kipolisi kwenye nchi za marekani na ulaya, unaona kabisa pasi kuwepo kwa kitengo hicho, kuna watu wengi sana wangesingiziwa kesi za mauaji na kufungwa au kunyongwa huku muuaji akipeta mtaani. Wauwaji wengine hufikia kiwango cha kusteji tukio ili lionekane ni fulani kafanya mbali na yeye muhusika, au marehemu kajiua mwenyewe, lakini kwa msaada wa forensic science, muuaji hupatikana hata baada ya miaka 10 kupita na hushtakiwa.
 
hii stry mie nimeipata ikiwa ya moto moto jana usk... ya kuhusu huyu mjeshi alomuua vero..jirani yangu ni ndugu na huyo veronika..huyu bibie inasemekana alikua ameolewa na huyo mjeshi..wakaamua kuachana...ila ss upande wa kike ukasema mtoto wao amepotezewa muda wakataka 8m..kumbuka hapo huyu kaka akaamua auze nyumba wakawagan 12m@[emoji4]! ndo wazaz wa vero wakataka 8m za faini.. so jumla bibie akapewa 20m..jamaa akabak na 4m..wakaandikishiana kbs asije kumsumbua mtoto coz ababak na baba..mtoto alikua mdogo bado
Sijuo bibie umepita mwaka akaanza kumpa kashi kash huyu mjeshi aking'ang'aniza ampe mtoto..bidada akafungua kesi mahakamn..inasema hapa ni baada ya 20m kuisha akamkumbuka mtoto.. akawa anamfanyia vitimbi balaa..ndo akapewa barua ya kuitwa mahakamn..
Sasa amefika pale na mashost kwa mbwembwe..jamaa naskia akamaambia veronika unanitakia nn ww? bibie akamjibu ovyo..jamaaa hakujiuliza mara 2 akamfyatulia risasi...ss hawa wengine wakawa wanaamulia sijui ugomv akatandaza risasi mtu 4 zikafa palepale...! naskia huyu kaka mpole kwel kweli ila familia ya mke ilikua zaidi ya majanga ya nchi hii!
pole sana ww mjeshi!
Dada zangu "Wakunyumba" walizingua kwenda kwa mbwembwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii stry mie nimeipata ikiwa ya moto moto jana usk... ya kuhusu huyu mjeshi alomuua vero..jirani yangu ni ndugu na huyo veronika..huyu bibie inasemekana alikua ameolewa na huyo mjeshi..wakaamua kuachana...ila ss upande wa kike ukasema mtoto wao amepotezewa muda wakataka 8m..kumbuka hapo huyu kaka akaamua auze nyumba wakawagan 12m@[emoji4]! ndo wazaz wa vero wakataka 8m za faini.. so jumla bibie akapewa 20m..jamaa akabak na 4m..wakaandikishiana kbs asije kumsumbua mtoto coz ababak na baba..mtoto alikua mdogo bado
Sijuo bibie umepita mwaka akaanza kumpa kashi kash huyu mjeshi aking'ang'aniza ampe mtoto..bidada akafungua kesi mahakamn..inasema hapa ni baada ya 20m kuisha akamkumbuka mtoto.. akawa anamfanyia vitimbi balaa..ndo akapewa barua ya kuitwa mahakamn..
Sasa amefika pale na mashost kwa mbwembwe..jamaa naskia akamaambia veronika unanitakia nn ww? bibie akamjibu ovyo..jamaaa hakujiuliza mara 2 akamfyatulia risasi...ss hawa wengine wakawa wanaamulia sijui ugomv akatandaza risasi mtu 4 zikafa palepale...! naskia huyu kaka mpole kwel kweli ila familia ya mke ilikua zaidi ya majanga ya nchi hii!
pole sana ww mjeshi!
So sad risasi hazijuagi huyu shosit au laa natoa angalizo kwa mtu yeyote hata bank usibishane na hawa maaskari hujui kichwani anawaza nini anaweza akakufyatulia risasi tu pia hakuna kinachowauwa maafande wetu zaidi ya madem kesi zote zinazoletwa humu za mauaji ni za mapenzi tu hakuna kingine kuna mmoja ni rafiki angu sana mwanasimba kindaki ndaki nkimkuta kabeba silaha doria kama simuoni hata simtanii atanichokoa wee nimetulia maana naweza kumpa makavu yakamuingia akani r.i.p namsubiri atue hilo li mzigo (maana pesa ndo silaha) ili tubishane vzuri

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
[emoji116]

Sent using Sukhoi Su-57
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
"Baada ya kuishi kama wanandoa na kuachana kisha kugawana mali zote (nyumba, gari, mifugo, duka, n.k) kwa usawa mbele ya Mahakama na kila mmoja akiendelea kuishi maisha yake huku Mwanajeshi akikubaliwa uiishi na mtoto wao mmoja, mwanzoni alimpeleka huyu mtoto kwenye kituo vya Watoto Yatima ila baadae akamtoa na kumpeleka Boarding school akiwa na 4 yrs.
Sasa Wakati huu wa sikukuu na shule zimefungwa Vero hamu ya kumwona na kutaka kuishi na mtoto huyu akaenda mahakamani kuomba ruhusa hii ya kuishi na mtoto kwa muda, mahakama ikamshauri aende kazini kwa Mwanajeshi kuna uongozi na mahakama kule (dawati la jinsia) ili kuomba na kupewa huyo mtoto.
Sasa siku ya alhamis majira ya saa 4 asubuhi Vero akaenda kambini Chandarua kukutana na mkuu wa kikosi, akaongea naye akapangiwa kuja siku ya jumatatu.
Baada ya mazungumzo na kuanza kutok nje ya ofisi ya MK kufika getini akamkuta Mwanajeshi yuko lindo na mwenzake, akamuuliza wee mwanamke unatoka huku na unanitafutia nini mimi, Vero akamjibu alivyoona inafaa, jamaa akakoki cha moto na kumtandika tatu za kichwa, tumbo na kifua.

Yule mjeda mwingine akainuka na kumzuia mwenzake asifanye vile naye akatandikwa ya kifua na tumbo.
Baadae akawa anaelekea kwa Mkuu wa Kikosi lakini kabla hajafanya chochote akawahiwa na kudhibitiwa.
Vero anazikwa leo hapa Msamala Songea, yule mwingine atasafirishwa leo huku mauaji akiwa korokoroni".
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma, linamshikilia askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wa kikosi cha Chandarua cha mjini hapa, Sajenti Batisin Samda, kwa tuhuma za kuwauwa kwa kuwapiga risasi watu wawili akiwamo mtalaka wake.



Askari huyo alitekeleza mauaji hayo akiwa kazini kwa kumuua askari mwenzake, Sajenti Juma Mkele na mtalaka wake, Veronica Kayombo.



Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Gemini Mushy, jana alisema tukio lilitokea juzi majira ya saa 10 alasiri kwenye eneo la kambi hiyo.



Kwa mujibu wa Kamanda Mushy, inadaiwa kuwa Kayombo alikuwa amekwenda kwenye kambi hiyo kumpelekea hati ya wito kutoka idara ya ustawi wa jamii aliyekuwa mume wake, jambo ambalo linaonyesha lilisababisha askari huyo kupandwa na hasira.



Alisema siku hiyo ya tukio, Kayombo alipofika kwenye kambi hiyo, kabla ya kukutana na Samda, alionana na mkuu wake wa kazi na baadaye mkuu huyo alimpa maagizo Sajenti Mkele ili ampeleke kwake (Samda) akamkabidhi barua hiyo ya wito.



Kamanda Mushy alisema walipofika kwenye eneo alilokuwa anafanyia kazi mtuhumiwa huyo, ghafla wakiwa wanaendelea na mazungumzo kabla ya kumpa barua alipandwa hasira na kumfyatulia risasi Kayombo kisha kummalizia askari aliyekuwa ameongozana naye ambao walifariki dunia papo hapo.
 
Very good...

Linapokuja suala la maslahi na mahusiano.
Ni bora kuua kuliko kuuliwa.

Nikiunga unga hizi simulizi nagundua kuwa mapenzi... Na dharau ndio chanzo cha mawazo yoote yaliyopolekea mauaji.

Sidhan kama kuna aliyekufa ambaye hana hatia kati yao..

Rai yangu kwa nyie wanawake.

Hii mambo ya kujazana ujinga na kuegemea maamuzi ya ofisi sio vizuuri...jifunzen njia sahihi ya kukidhi matakwa yenu.

Pesa umepewa... Mtoto ukasahau.
Ukapewa fidia mtoto umesahau.
Umemaliza vyoote unataka mtoto.
Unaenda mahakamani unataka uende na kazini kwake...

Kukaa kwake kimya haukuwah kuwaza km anafurahishwa au kuchukizwa na unayoyafanya...


Ni haki yake tu kufa anarudisha maendeleo ya watu nyuuma...

Asipumzike kwa amani.... Kesi atadeal nayo MUNGU juu uko.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom