ArchAngel
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 4,513
- 3,764
Duh!hii stry mie nimeipata ikiwa ya moto moto jana usk... ya kuhusu huyu mjeshi alomuua vero..jirani yangu ni ndugu na huyo veronika..huyu bibie inasemekana alikua ameolewa na huyo mjeshi..wakaamua kuachana...ila ss upande wa kike ukasema mtoto wao amepotezewa muda wakataka 8m..kumbuka hapo huyu kaka akaamua auze nyumba wakawagan 12m@[emoji4]! ndo wazaz wa vero wakataka 8m za faini.. so jumla bibie akapewa 20m..jamaa akabak na 4m..wakaandikishiana kbs asije kumsumbua mtoto coz ababak na baba..mtoto alikua mdogo bado
Sijuo bibie umepita mwaka akaanza kumpa kashi kash huyu mjeshi aking'ang'aniza ampe mtoto..bidada akafungua kesi mahakamn..inasema hapa ni baada ya 20m kuisha akamkumbuka mtoto.. akawa anamfanyia vitimbi balaa..ndo akapewa barua ya kuitwa mahakamn..
Sasa amefika pale na mashost kwa mbwembwe..jamaa naskia akamaambia veronika unanitakia nn ww? bibie akamjibu ovyo..jamaaa hakujiuliza mara 2 akamfyatulia risasi...ss hawa wengine wakawa wanaamulia sijui ugomv akatandaza risasi mtu 4 zikafa palepale...! naskia huyu kaka mpole kwel kweli ila familia ya mke ilikua zaidi ya majanga ya nchi hii!
pole sana ww mjeshi!
Sent using Sukhoi Su-57