F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,381
- 1,119
Pengine alilazimishwa kulinda akaona hawezi kuwatibu askari wenzie na raia alafu usiku alazimishwe kulinda tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo askari magereza unasema ni mganga alafu alikua lindo bado sijaelewa hapa labda kuna kitu kina itwa internal conflict yaani mtu amesoma udokta halafu una mpeleka lindo sjui nadhani wajuzi watasema zaidi