THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,543
- 14,803
inasikitisha
Wa cha yafe tu. Damu za watu hizo zinawalilia
Mungu atawasamehe kwamaana wanatimiza kauli ya mheshimiwa,wapigwe tu tumechoka,ila apumzike kwa amani.Waombeeni watu hawa kwani hayo yote ni mapepo tu kwa kisingizio kingine, damu za watu, shida, hasira, nk
Je kuhusu pine inayozuia triger kufyatuka ili risasi itoke mbona inaonekana bado imefungwa? au marehemu alipomaliza kujilipua aliinuka na kuifunga ndio akafa?
Bado RPC Mihayo wa Ruvuma, naye ana damu inayomilia. Anaweza kuishia hatua kama hiyo
Ni baada ya mtaalam wa kuchunguza maandishi atakapopelekewa kuchunguza na kuthibitisha maandishi hayo ni ya marehemuKuna ujumbe ambao ameacha wa maandishi kuhusu nani hasa anahusika. Amesema kaamua mwenyewe. Bado tu huamini hata maandishi yake?!!!
Polisi akifariki ni laana, raia wakawaida akifariki ni nini?Raia wanaacha laanaa sasa police watakoma mmezoea,kupiga raia adi kuwaua bila hatia
acha hizo, sio polisi wote wanafurahia unyanyasaji wa raia mkuu
Brave comments!!R.I.P Aloyce
Hapana mkuu hebu angalia vizuri jinsi bunduki ilivyolala.kwa hapo sio rahisi kwako kujua usalama/safe ya hiyo SAR iko open or closed.kuna hiyo Trigger guard inyoiweka trigger katikati.usalama Wa SAR unapoufungua unakuwa sambamba kabisa na hiyo trigger guard kwa jinsi bunduki ilivyolala kwenye hiyo picha sio rahisi we we kuona.
Kuna walakini. Tusiwe wepesi kuamini amejiua. Hatuwezi jua kuna nini nyuma ya pazia.
Threesixteen Himself
Nimelia sana kwa comment za wanajf juu ya msiba wa mpendwa wetu. sikupata nafasi jana kuja jamvin kutokana msiba huu lkn nilichokikuta imeniuma na imenifedhehesha sana... eeeem mola.
Mungu awabariki sana wana JF wooote mlioshabikia kifo cha mpendwa wetu sisi sote mwisho wa siku tutarudi mavumbini Ameeen..... haina haja hata mjue nin kisa.
pole sana ndugu yangu humu jf kuna member wenye roho mbaya sana, marehem apumzike kwa amani
Hao memba wenye roho mbaya humu JF watakuwa ni Polisi tu
Nshakunote wewe ni polisi,me sina mlengo wowote wa kisiasa ila kwakua nimeandika kile ambacho wewe hakijakufurahisha unahisi nna mlengo wa kisiasa,binafsi nimeanza kuwachukia polisi kabla sijaanza darasa la kwanza na wakat huo hakukua na mfumo wa vyama vingi,ilikua mfumo wa chama kimoja na kwenye kura unawekewa kivuli na picha ya mgombea husika.Mkoroshokigoli unapotaka kuandika jaribu kushirikisha ubongo ktk kufikiri acha kutumia bataks, hizi siasa za mkumbo zitawamaliza