Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,388
- 1,094
Mkuu angalia vizuri muundo Wa hiyo silaha na idadi ya risasi zake ilizopakiwa.sio risasi nyingi sana na so nzito sana na ndio maana ikawa silaha nzuri kwa gwaride.inabebeka bila Shida.unajiuliza Ali pull vipi trigger kwa mkono mmoja hilo linawezekana kabisa.pia umbali Wa silaha na target ulikuwa Wa karibu mno.hivyo mzunguko Wa risasi ni Wa kasi sana hiyo tundu LA nyuma ya kichwa litakuwa kidogo sana.hii ni kutokana na utazamaji mzuri Wa CD za vita halisi au uvamizi halisi sio movie.
Je kuhusu pine inayozuia triger kufyatuka ili risasi itoke mbona inaonekana bado imefungwa? au marehemu alipomaliza kujilipua aliinuka na kuifunga ndio akafa?