Hivi armoury utaratibu unasema tu nasafiri na fulani nipe silaha unapewa???!!!?
Handsome kajisepesha loh...loh watu tumekiwa wabishi mpaka igonge 80+ uwiii
Hata me nashangaa kaka ukiangalia kwa jicho la pili huyu inawezekana ameuliwa. Na kwani kusafiri tu unapewa silaha na risasi 10 juu. Au marehemu kuna dili walitaka kulicheza ila akapotezea
Ilo nalo neno,litazamwe kwa jicho la tatu,isije ikawa kama alivyojiua saba sita.
Nikiikumbuka video ya Lipumba hata sisikitiki sana
Unamtamani Marehemu?
Du! lipumba ameshoot lini movie na hiyo movie inaitwaje? na inahusika vp na hili tukio la askari kujipiga risasi..!?
Alishuti movie anapigwa na Polis...walimpiga kweli kweli...location Temeke. Nawachukia yani...
Ilo nalo neno,litazamwe kwa jicho la tatu,isije ikawa kama alivyojiua saba sita.
Jamani kama kajiua yeye kashiba ugali.
Pole sana IGP kwa kupoteza nguvu kazi. Kijana wako alikuwa bado saana yaani, ila ujiulize IGP ni nini kilimfikisha hapo? Angeweza kuondoka na askari 9 na yeye awe wa 10 ujue! Sasa ni nini hii kitu?
Je tusiwape tena bunduki?
Je tusiwaruhusu wakae na silaha karibu na wakuu wao?
je, ni maanyanyaso ya mkuu wake?
Angalia IGP leo wanajitoa uhai wao, kesho watafyeka kikosi ndo wajilipue. WAPIGWE TUUU.