Askari ajiua kwa kujipiga Risasi Mdomoni

Askari ajiua kwa kujipiga Risasi Mdomoni

Ameshajihukumu mwenyewe poleni sana wafiwa wote.
 
Zamani ilikuwa ukipata taarifa kama hizi jamii nzima ilikuwa inashikwa na majonzi lakini siku hizi zikipatikana taarifa mbaya zinazowahusu askali polisi jamii zinafurahi sana. Kuna haja ya hawa askali kujitathmin.

Mfano mzuri hapa jf ukiangalia comments nyingi zinaonesha watu wamefurahia hili tukio.
 
Hata me nashangaa kaka ukiangalia kwa jicho la pili huyu inawezekana ameuliwa. Na kwani kusafiri tu unapewa silaha na risasi 10 juu. Au marehemu kuna dili walitaka kulicheza ila akapotezea

kwa kwel hata kama ni kujiua kujipiga risas ya mdomo sio rahisi ingekuwa kajipiga kifuan tungeweza kuamin direct
 
Acheni chuki kwa polisi kiasi hicho. Kisa mnavunja sheria na kupigwa basi kila mtu anajidai kuwachukia. Na mtapigwa mpaka mkome ,
 
Dereva wa OCD anachukua SAR kwa ajili ya safari, ina maana OCD hana mlimzi mwingine tofauti na Dereva, maana OCD akishuka kwenye gari, Dereva anabaki akipark gari !!! Halafu kwa nini apewe SAR badala ya Bastola.
 
Ndio ni kwel tunawachukia polisi lakin samaki mmoja akioza huchomolewa na kutupwa wala hawatupwi wote, kwahiyo tusimlaumu huyu sana maana pengine alikuwa ana utu kuliko hata wewe raia
 
Ingekua hivyo angeanza na mkuu wake kabla ya kujimaliza.

Morinyo;

Miye nimekaa karibu sana na hawa Mapoliccm. Kule Ngara, miaka ya nyuma kidogo, kama kuna mtu mwenye kumbukumbu na sidhani ka huko kwao HQ wanawekaga kumbukumbu hizi. Tunaokumbuka, tunakumbuka insidence moja, mkuu alikuwa anampanga askari lindo la mbaliii kule Rusumo, ili yeye ajifaidie mke wa mtu jamaa akiwa lindo.

Siku ya tukio jamaa alidandia gari kwa siri bila kujulikana, mpaka kituoni. Ilikuwa pata shika nguo kuchanika pale kituoni. Kama mnalikumbuka hili soo, nadhani yawezekana ndo yanayo endelea leo.

Ni kaushauri tu nimempa IGP sijasema wanafanya hivyo lakini jinsi maadili yalivyo poromoka, hili ni kama chafya tu. Nasema. Kamanda Magu, sijakuambia huu ni mchezo wa vijana wako ila kuangalia line hiyo si dhambi kwako.

Askari hawezi kujiondoa kimya kimya tu hivi hivi.
Kumbuka IGP miye sina uwezo wa kukuamuru, chukulia hili ka tetesi tuu
 
Acheni chuki kwa polisi kiasi hicho. Kisa mnavunja sheria na kupigwa basi kila mtu anajidai kuwachukia. Na mtapigwa mpaka mkome ,

sio kila anayevunja sheria anapigwa wala sio kila anaepigwa kavunja sheria
 
Jamco_Za

Ha ha ha Mkuu.. Crime Investigation documentaries naona zimekuharibu lol.. Mie baada za kuziangalia sana zile nimejikuta nikizi-treat all murder cases as homicide mpaka zithibitishwe vinginevyo.. Hata hii baada ya kuangalia picha na kusoma maelezo imenipata shaka..

Unless ukipatikana ushahidi madhubuti kama jamaa kweli aliji-RIP, nitakuwa na shaka sana..
 
Last edited by a moderator:
Nnasemaa. Mwakahuu mtajiuuaaa sanaaa nanafanyamaombi. Yasikutatu triipuuhii muanzekujipiga kwenyemakalio kilasiku mdomoni mdomoni unaninimdmo pigakwenye ndengabasii. Iingienda wajue kweriiii umkwendaa mwanawaneeeuwiiiiii. Ningekutumiaa hatasanda semaaaa nahangaika kuwatoa wenzangu 30 mliowapiga. Mbagaraaa kwetuuu

Ishu sio kuomba hata polisi na wao waomba na waendaji wazuri Wa kanisani.Lipo kuja swala LA kifo kila ananamna atakufa kwa staili yangu.NA KILA SIKU MTU YEYOTE AMBAYE NI MHARIFU/MVUJA SHERIA MILELE HAWEZI KUWA NA MAPENZI NA JESHI LA POLISI.unapowachukia polisi jichunguze sana miendendo yako.RIP polis ulifariki
 
musobogo

Ni kweli mkuu hyo silaha ingemfumua kichwa hicho..
 
Last edited by a moderator:
Nini tena afande.........maisha matamu hivi kweli ndio umeamua hivyo........RIP shemeji...........

Aaaaaah! huenda maisha ya huko anapoenda ni matamu zaidi ya haya tunayoyafahamu, si unajua tena hakuna aliyeenda akaja kutuhadithia?
 
musobogo

SAR no silaha ambayo haina mtekisiko mkubwa inapo to a risasi tofauti na AK47/SMG.kwa vyovyote vile kwa sababu mtutu Wa bunduki ulikuwa mdomoni na akafyatua risasi uwezekano Wa damu kutoka puani na mdomoni vilevile nyuma ya kichwa ni sawa.siwezi toa conclusion kwa sababu picha haionyeshi nyuma kichwa kukoje
 
Last edited by a moderator:
Horseshoe Arch

Mkuu angalia vizuri muundo Wa hiyo silaha na idadi ya risasi zake ilizopakiwa.sio risasi nyingi sana na so nzito sana na ndio maana ikawa silaha nzuri kwa gwaride.inabebeka bila Shida.unajiuliza Ali pull vipi trigger kwa mkono mmoja hilo linawezekana kabisa.

Pia umbali Wa silaha na target ulikuwa Wa karibu mno.hivyo mzunguko Wa risasi ni Wa kasi sana hiyo tundu LA nyuma ya kichwa litakuwa kidogo sana.hii ni kutokana na utazamaji mzuri Wa CD za vita halisi au uvamizi halisi sio movie.
 
Last edited by a moderator:
Nimelia sana kwa comment za wanajf juu ya msiba wa mpendwa wetu. sikupata nafasi jana kuja jamvin kutokana msiba huu lkn nilichokikuta imeniuma na imenifedhehesha sana... eeeem mola. Mungu awabariki sana wana jf wooote mlioshabikia kifo cha mpendwa wetu sisi sote mwisho wa siku tutarudi mavumbini Ameeen..... haina haja hata mjue nin kisa.

pole sana ndugu yangu humu jf kuna member wenye roho mbaya sana, marehem apumzike kwa amani
 
Jinsi bunduki ilivyolala kifuani kwa mtu aliyejilipua ghafla ........sijui .....
 
Back
Top Bottom