OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Inawezekana kauawa manake ndio zao hizo, polisi wanaua wenzao kisha wanasingizia wamejiua.
Eti eeenh, kama wapi tena??!!
Inawezekana kauawa manake ndio zao hizo, polisi wanaua wenzao kisha wanasingizia wamejiua.
Hivi armoury utaratibu unasema tu nasafiri na fulani nipe silaha unapewa???!!!?
Samaki mmoja akiozaacha hizo, sio polisi wote wanafurahia unyanyasaji wa raia mkuu
Samaki mmoja akioza
Nini tena afande.........maisha matamu hivi kweli ndio umeamua hivyo........RIP shemeji...........
Siamini kama kajiua mwenyewe.
Kama ni police acha aende tu,ukiuwa kwa Risasi nawewe utakufa kwa Risasi.Hakuna tulichopoteza!
Hivi armoury utaratibu unasema tu nasafiri na fulani nipe silaha unapewa???!!!?
RIP, munyandughu ww ni ----, kama ulienda shule bc kwa sababu fedha za kukusomesha zilikuwepo, other wise hiyo hela bora babako angehonga malaya wake, maiti haitaniwi popote pale duniani,ikiwa hujui kufa, tazama kaburi. Foolish lady