Askari ajiua kwa kujipiga Risasi Mdomoni

Askari ajiua kwa kujipiga Risasi Mdomoni

Nshakunote wewe ni polisi,me sina mlengo wowote wa kisiasa ila kwakua nimeandika kile ambacho wewe hakijakufurahisha unahisi nna mlengo wa kisiasa,binafsi nimeanza kuwachukia polisi kabla sijaanza darasa la kwanza na wakat huo hakukua na mfumo wa vyama vingi,ilikua mfumo wa chama kimoja na kwenye kura unawekewa kivuli na picha ya mgombea husika.
Usikariri kuwa kila awachukiaye polisi ana mrengo wa kisiasa,utapagawa

akili za kitoto
 
Mashaka yangu pia yapo hapo.

Kama ni hivo,huyo alikuwa ni dereva tu wa OCD,kusema tu nasafiri na OCD anaomba silaha akapewa. Je angekuja kwa mfano mke wa mkubwa zaidi na kusema anasafiri na big boss si angepewa hata silaha mbili.. !?

Nadani wao wenyewe wanajua taratibu zao za kazi.... Labda bwana armoury alijiridhisha na maelezo ya marehemu...!

Labda ndo utaratibu wao ambao bila shaka utakuwa ni mbaya kwani inahitajika kuhakikisha kweli kuna safari na kwamba.kweli alikuwa anasafiri. Laiti watu wangejua kuwa kwa kujiua au kwa kuua ndipo wanapoanza mateso ya milele wangejiepusha na vitendo hivi.
 
kusema ukweli mi mipolisi siipendi kabisa, nikisikia imeuliwa huwa napata faraja sana moyoni
 
kusema ukweli mi mipolisi siipendi kabisa, nikisikia imeuliwa huwa napata faraja sana moyoni

We kojoa ukalale! Wengine ndo tumewekwa mjini na mapolisi! Acha kukariri sio kila mweupe ni mzungu Kuna maalbino!
 
Ngumu kumeza na kuamini,ila ninachoweza kuamini ni kuwa mazingira ya hii picha ni yakutengenezwa na mtu mwingine!
Na siyo yaliyotokana na Marehemu kujipiga risasi mwenye!


attachment.php
 
Hi pict siyo halisi kwa sababu zifuatazo
Mlinzi wa kiongozi huwa hawasafiri na silaha hizi za SAR huwa zinatumika bastola (star) au Glock
Pili kama kuna ulazima wa kwenda na silaha kubwa basi ni SMG
Kitu kingine mtoa silaha kwa taratibu za ghala la silaha huruhsiwi kutoa silaha kama mtu hana kibali au huna taarifa ya hiyo safari
 
kusema ukweli mi mipolisi siipendi kabisa, nikisikia imeuliwa huwa napata faraja sana moyoni
Hapana.haupo sahihi.polisi ni baba zetu,ndugu zetu,watoto wetu.ndio ajira zetu.Labda uwe jambazi tena sugu!
 
Back
Top Bottom