Mkuu Kisoda2:
Nukuu za vyombo vya habari zinasema Askari huyo alikuwa "mapokezi" na yawezekana alikuwa bado "hajarudisha" silaha - na hii silaha yawezekana ni "bastola":
ALL-IN-ALL: uchunguzi zaidi unahitajika: Siamini kama Askari anaweza kuwekwa "chini ya Ulinzi" akabaki na silaha mkononi - hii ni kwa Tanzania pekee
Huyo WP anapaswa kuhurumiwa yeye pamoja na familia yake nahisi alijiua kwavile; Kwanza, imetokea Tarime na ukisema Tarime maana yake Chadema (kwa akili ya CCM). Pili, Vitisho alivyopewa na wakuu wake alihisi adhabu atakayopewa itakuwa ni sawa na Kifo tu na akaona heri ajiue mwenyewe bila kusubiria kifo cha mateso. Hata hivyo bado tuna haki ya kupewa taarifa sahihi za kifo cha dada huyu, japo nahisi taarifa haitakuwa natofauti kama ile ya kifo cha Imrani Kombe au hata ile ya wale jamaa toka Mahenge.
Ni mwaka wa uchaguzi tutaona mengi sana kabla ya Oktoba.
Hapa lazima mkulu atwambie kulikoni huyu afe,na tena kwa risasi nne! na pia akiwa chini ya ulinzi wa polisi?Mkuu Kisoda2:
Nukuu za vyombo vya habari zinasema Askari huyo alikuwa "mapokezi" na yawezekana alikuwa bado "hajarudisha" silaha - na hii silaha yawezekana ni "bastola":
ALL-IN-ALL: uchunguzi zaidi unahitajika: Siamini kama Askari anaweza kuwekwa "chini ya Ulinzi" akabaki na silaha mkononi - hii ni kwa Tanzania pekee
Hapa jamaa inabidi aje na taarifa ilonyoooka.maskini Dada wa watu katolewa Mhanga bila kujua.....atkuwa aliuwawa ili kuficha ukweli...manake tangu lini Mahabusu akawa na silaha nzito hivyo??au labda alipewa akalazimishwa ajiue kabla hajauwawa....ooh its so sad and unbelievable!
Kikwete ni Nuksi tu ndo maana kila akizindua kitu lazima itokee skendo...mara majina ya wilaya yamekosewa...au anazindua kitu kumbe kesi iko mahakamani au mradi kama wa Maleria kumbe umejaa dhuluma tupu na mengine meengi tu...!sijui nani alumiwe,wasaidizi wake au usalama wa Taifa?RIP Suzana.:disapointed: