Triplets
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 1,146
- 202
Hii topic inafundisha nini jamani??afadhali mngesema asiyecheat aseme hapa ni sababu gani zinazomfanya asicheat na ni effort gani anafanya (if any) kuavoid cheating...hapo ingekuwa educative zaidi, kwa mtazamo wangu mimi
haya mambo ya cheating hayana mwenyewe it can happen to ANYONE, ndio maana hata sisi ambao hatujawahi kucheat tunatakiwa tuwe makini saa zote ili tubakie tulivyo
Sijawahi kucheat katika maisha yangu na namwomba Mungu anisaidie nisicheat kabisa hata huko mbeleni
Ila naomba mniwie radhi jina langu sitoi hapa jamvini, kwa sababu baada ya kuchangia hapa napenda niendelee kuwa huru kuchangia na topic nyinginezo vile vile
Namba ya simu... naomba nisitoe pia, too much risk just for the sake of being congratulated on phone