Asilimia kubwa ya wanawake walio katika ndoa hawakuwapenda waume zao

Kesi za wanawake kurudi kwa ma ex ni janga. Hivi tatizo hasa ni nini?
kuna ukweli kene hili , ma ex wangu wote wawili kwa nyakati tofauti walioolewa wamerudi wanaomba tu hook up japo hawasemi directly, na me nimekua tu mstaarabu,sikutaka kurudi nyuma lakini nikajiuliza nini tatizo apa. asee ni kweli, watu wanaoa au kuolewa for the wrong reasons. Tuwe tunadhirika tu nadhani hakuna namna, maisha hayarudi nyuma yanaenda mbele, huwezi ku recreate the past hata iweje.
 
naunga mkono hoja.
mwanaume ndiye mwenye maamuzi ya mwisho kuhusu ndoa hivyo katika kufanya maamuzi hayo inawezekana kabisa upande wa pili usiwe katika utayari/kupenda lakini kwa vile kuwapata wanaume wanaofikia hatua hadi ya kutangaza ndoa ni nadra katika kipindi hiki cha scramble for men hivyo ni ngumu kwa mwanamke kukataa.

na hii ndio inayopelekea wanawake kutowapenda wanaume zao pale wanapokamilisha azma zao za ndoa hivyo kukuta mwanamke kafanya mchepuko ni kawaida kabisa, na wengi wao hufanya michepuko na mwanaume/wanawaume wenye ndoto zao (kama wasemavyo wenyewe mwanaume wa ndoto yangu).
Utakuta mwanamke anarudiana na ex wake ambaye tayari ana ndoa na maisha yake. Sasa huyo mwanaume wa ndoto yake anatoka wapi? Tafsiri nyepesi ni kuwa mwanamume anamtumia huyo mwanamke kama kiburudisho tu lakini hayupo kwenye mipango yake, vinhinevyo angemuoa. Hivyo mwanamke ndio anajipeleka kwa mwanamume ambaye naye moyoni atakuwa anawaza "huyu si kesholewa, mbona bado anaendeleza umalaya!?" Atabaki kushukuru hakumuoa, kwani ndivyo naye angemfanyia.
 
Na ukweli mkipenda, mmependa kweli. Ndio maana wengine waliopenda kweli ma ex wao, wakifunga ndoa tu, wanaendelea kuwahudumia, hata mume afanye nini. Mwisho huwa ni talaka tu
Mapenz ya kwl nikupenda hali halic ya mwenzio,,, pesa ni yaziada xn,,, lakini kwenye 10 kuna kuna wawili,, uwaminifu hakuna. Hasa wanaume hata mpewe nn haridhiki,, kwann,,, mbn cc girls 2kipenda 2mependa kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama, dada, Bibi,Shangazi zako hawakuwapenda Waume zao? Au hawajaolewa?
Kuna mdau mmoja alinipa comment ya ajabu sana, nilishauri mabinti watunze bikra zao, yeye akarukia kwa dada zangu kuwakashifu eti wametumika. Mtu mjinga hawezi kuona value ya ndani ya kitu kinachokusudiwa. Mtu wa namna hiyo ni kumpisha njia apite zake.
 
Mungu nisaidie Mimi niolewe na ninayempenda.
Taabu ya kuolewa na mtu nisiyempenda mbona itakuwa kasheshe.
Mungu baba nione Mimi mwanao
 
Tatizo lenu mnachagua sana jamani ... Unakuta mtu anataka msambwanda, guu la bia, mara mweupe, mwenye sura kama malaika akivaa anavunja kabati kama milion hivi sasa unategemea mwanamke kama huyo utaishije nae kama sio kufujaa hela?
Nina ushahidi wa mkaka mmoja anatia huruma sana yaaani ni anaendeshwa na mkewe hadi ... Na dini kabadilishwa kisa mkewe ni asali kitandani hahha nacheka kama mazuri ....mke alidhani atakua na maisha kama malkia kisa mwanaume ana gari aliyoyakuta ni noma mwanamke anajuta kuolewa na mwanaume na mwanaume anajuta kumuoa mke ..... Mke anasema yaani ikatokea tukazaliwa sayari ingine hata kwa bahati mbaya siwezi olewa na huyu mwanaume wala mwanaume yeyote ...
Wanaume angalieni kichwani sio chini ninyi ... Mtalalamika hadi yesu anarudi shauri zenu
Huyo ni bado hakuwa amekomaa vizuri. Hao ni wale walikuwaga watoto wazuri nyumbani kwao, halafu akapata kikazi tu kaoa, au wazazi wamefariki karithi mali akiwa mtoto kamaliza shule kaoa ndo wanapelekeshwagwa hivyo.
Lakini uolewe na konki wa miaka zaidi ya 35 unadhani utampelekesha?
 
Tatizo lenu mnachagua sana jamani ... Unakuta mtu anataka msambwanda, guu la bia, mara mweupe, mwenye sura kama malaika akivaa anavunja kabati kama milion hivi sasa unategemea mwanamke kama huyo utaishije nae kama sio kufujaa hela?
Nina ushahidi wa mkaka mmoja anatia huruma sana yaaani ni anaendeshwa na mkewe hadi ... Na dini kabadilishwa kisa mkewe ni asali kitandani hahha nacheka kama mazuri ....mke alidhani atakua na maisha kama malkia kisa mwanaume ana gari aliyoyakuta ni noma mwanamke anajuta kuolewa na mwanaume na mwanaume anajuta kumuoa mke ..... Mke anasema yaani ikatokea tukazaliwa sayari ingine hata kwa bahati mbaya siwezi olewa na huyu mwanaume wala mwanaume yeyote ...
Wanaume angalieni kichwani sio chini ninyi ... Mtalalamika hadi yesu anarudi shauri zenu
Hii lazma itakuwa flatskrini km sikosei.
 
Inapifika swala la ndoa aliyeagizwa kumpenda mwenzie ni mwanaume na wala si mke kumpenda mume!

Hiyo ni kwa mujibu wa maandiko Matakatifu
 
Back
Top Bottom