Asilimia kubwa ya wanawake walio katika ndoa hawakuwapenda waume zao

Love of my life
Hongera mkuu
4f85f1e05496de82c806bf9f9de47442.jpg
 
Mi naona kama inakuwa afadhali ukimpata mwanamke kabla ya kuwa na mafanikio makubwa. Lakini pia nasi wanaume tunapenda kutumia ukwasi wetu kama fimbo hapo, tusitegemee mapenzi ya kweli.
Mkuu uko sawa. Tatizo kabla ya mafanikio utapata wa class ya chini pia. Huwezi pata kitu roho inapenda. Pia mwanamume kutumia pesa Ni sababu ya kumtaka wa class hiyo. Hivi umewahi kuwaza uhamisho wa ndani anaofanya Wema toka mwanamume mmoja hadi mwingine? Au mtazame Lulu kwa Mfano. Wewe unayeishi kwenye kichumba cha kupanga Mbande, biashara yako mkaa, utawapata lini hawa ili muanzie chini wote? Wenzio wanataka walio na mkwanja tayari, wao ni kuspend tu. Ndio hali halisi.
 
Hzi mada za siku hzi za mambo ya ndo zimekuwa nyingi sana na zina uwongo mwingi
Onesha huo uongo. Pia hili Ni jukwaa sahihi kama hukujua. Waweza kuhamia majukwaa mengine kama elimu, sport n.k.
 
Siku hizi hamna jambo baya kumzoea mke wa mtu halafu wangine sio kama mumewe anauchumi magumashi kisa utani unaleta juisi na masihara kidogo eti anajua unampenda kweli . Nadhani pepo la ngono linatutawala sana tubadirike. Pia social network hata wake za watu wapo cheap sana mara nyingi wale walio busy kuweka mapicha na kupata malike ya mengi unaweza kukuta zaidi ya wanaume kumi wanacheat nae hatari sana dunia inaenda kasi mno
 
Tunaishi kwenye kipindi kigumu sana watu wanataka perfection ya hali ya juu sana. Tunasahau kuwa kila binadamu anamapungufu yake. Vijana tunatakiwa kujifunza kuvumiliana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, tatizo sio kuvumilia, tatizo unamvumilia mtu wa aina gani! Haya ndio madhara ya haki sawa mpaka kwenye ndoa. Sasa hivi wanaume wanaanza kuamini kuwa Ni bora kutokuoa kwani ukikosea step, ndoa ni gunia la misumari. Haya Ni maneno ya mmoja wapo wa mapioneer wa feminism:

c6ea446988eeec56d937230352009fa8.jpg
 
Siku hizi hamna jambo baya kumzoea mke wa mtu halafu wangine sio kama mumewe anauchumi magumashi kisa utani unaleta juisi na masihara kidogo eti anajua unampenda kweli . Nadhani pepo la ngono linatutawala sana tubadirike. Pia social network hata wake za watu wapo cheap sana mara nyingi wale walio busy kuweka mapicha na kupata malike ya mengi unaweza kukuta zaidi ya wanaume kumi wanacheat nae hatari sana dunia inaenda kasi mno
Ni Kweli usemayo mkuu, wanawake tumeishiwa staha kabisa siku hizi, kubwa ni kuvumiliana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kulingana na mfumo wa maisha. wanawake hawajapewa hasa nafasi ya kuchagua tangu kale na hata wangekuwa nayo wengine wangeishia kutoolewa.
Wanawake ni kama nguo haichagui mnunuzi bali humvutia tu. Wanawake waliagizwa kutii waume na waumewaliagizwa wawapende. wakitimiza hilo maisha yataenda sawa
kama ilivyo nguo, mwanamke utamvutia huyu lakini yule hapana. kwa hiyo nafasi muhimu kwa mwanamke ni kutafuta mvuto mengine huja tu automatically!
Naunga mkono hoja 100%. Tatizo moja tu, hiyo nguo iliyokuvutia ukainunua, Eti ikifika kwenye kabati, ghafla inataka kuanza kutoa amri. Umewahi ona wapi? Kama mwanamume ndiye anayeoa ili ajenge familia, usawa kwenye ndoa unatoka wapi?
 
Mkuu uko sawa. Tatizo kabla ya mafanikio utapata wa class ya chini pia. Huwezi pata kitu roho inapenda. Pia mwanamume kutumia pesa Ni sababu ya kumtaka wa class hiyo. Hivi umewahi kuwaza uhamisho wa ndani anaofanya Wema toka mwanamume mmoja hadi mwingine? Au mtazame Lulu kwa Mfano. Wewe unayeishi kwenye kichumba cha kupanga Mbande, biashara yako mkaa, utawapata lini hawa ili muanzie chini wote? Wenzio wanataka walio na mkwanja tayari, wao ni kuspend tu. Ndio hali halisi.
Mkuu class huwa linabadilika, trust me hata hawa unaowaona wako super wengi wametoka chini. Hao wanaotaka mkwanja kwanza ndio hao ambao mada imewagusa 100%.
 
Back
Top Bottom