Hiv china hakuna serikali? Wanaruhusuje vitu kama hivi viwe exported? Chinese are irresponsible kabisa. Ingekuwa ni nchi kama Marekani watu wangewasema sana lakini kwa sababu ni wachina hakuna anayewasema.
Wachina wanatultea bidhaa kibao zinazotuua,wanauza silaha kwa waasi, wanaiba rasilimali zetu kama kule Congo DRC na hata Tz lakini kila siku hatuachi kuwasifu kuwa wao ndiyo wazuri.
Wajameni hawa wachina inatakiwa kuwasusia siku moja maana wanatuangamiza.
Wahaya wanaweza kazi, huyu ni mmoja kati ya maelfu ya wahaya wanaoweza kuleta maendeleo, lakini sirikali inawabania. tumuombe agombee urais kupitia CCJDK magufuli leo aliamua kuitokea kampuni moja inayofanykazi ya kuhifadhi samaki;pale alipokuta vibua vinaagizwa toka yemen na japa ambavyo hutumika kwao kama chambo ya kuwapata"TUNA"
Baada ya kullamika kwa nini wanawalisha chambo watanzania samaki walioshindikana huko kwao walikiri na kuomba samahani na kuahidi tani 2250 waliyoagiza aitakuja tena,...
wakti huo huo alifumania kampuni moja inayofanya kazi ya kutengeneza nyavu haramu;hilo nalo amewaaapia ata deal nao sambamba;
kazi unayo baba;mwaka wako
Mungu yuko nyuma yako
Naona umejikita kwwnye vifaa vya umeme na apps zake, janga liko kwenye vyakula na madawa mhm si mchezoDaaah hata hio komputer uliotumia kuandikia huo ujumbe inawezekana nayo ni feki...! Ha ha ha ha...! Watanzania tunapenda vya rahisi, but modern, so the best way ni kupata vilivyo feki lakini tuonekane tunavyo...! By the way ukiuliza ni watu wangapi walio na genuine Window OS or Genuine Office software au ni wangapi wanenda dukani kununua albam ya wanamuziki, utapata jibu, wengi wana pirated softwares and the like, no one dares to buy genuine things because of its prices but as well because we want quality things at a cheaper price so this answers your questions as to why our market is flooded with fake goods
Naona umejikita kwwnye vifaa vya umeme na apps zake, janga liko kwenye vyakula na madawa mhm si mchezo
Ukweli mtupu. Mbaya zaidi taasisi husiKa kushugulikia tatizo hili ikiwemo TBS wameshidwa kudhibiti wimbi la bidhaa feki.Hata hiyo 40 ni understated. Almost 'all' drugs, electronic goods, used cars (wanaonunua brand news ni wachache sana), foodstuffs, textile materials ni vya kugushi.
Hiyo asilimia ni ndogo sana ukicompare na reality....... At least ungesema 80% ingekuwa accurate....
Duh! Hii English yako noma!😃yeah and its not a must to agree with it.what is fake btw?do we have anything fake in the world of our ordinary experience or even outside of it?
Swali lilikuwa zuri. Hata English yake ilikuwa mbovu kabisa.Hivi Magufuli nae ana Ph.D?
Amandla.....
Inaitwa IngLishDuh! Hii English yako noma!😃
Ni kweli ladha ya NIDO imebadilika. Halafu types nyingine expiry dates zinatisha. Tuweni makini.Nimejaribu sana kulinganisha hizi kondoms za roughrider, si kama zilizokuwepo miaka ya nyuma. Hizi za siku hizi kwanza kuzifungua toka kwenye kimfuko chake ni hadi utumie meno au kijiwembe, hazifunguki kirahisi. Pili zinaonekana kama zimebana na kwa kweli hazihimili vishindo kama zile za miaka takriban mitano iliyopita. Hapa nabaki najiuliza kulikoni, wajanja wameamua kujitajirisha kwa kufanya ufisadi wa kutengeneza kondoms feki kwa gharama ya maisha ya watanzania.
Kitu kingine nilicho na wasiwasi nacho ni haya maziwa ya Nido yaliyo na label ya Africa Kusini. Haya nayo siamini kama ni maziwa yanayostahili kutumiwa na watanzania wa leo. Ni kwamba ukiyatia kwenye maji ya moto yanatengeneza vijibonge vidogovidogo, hayayeyuki vizuri. Hata ladha yake inatia shaka. Hapa napo naona wahuni wa kibiashara wameshaingilia soko wanatutengenezea bidhaa feki. TBS mko wapi? Nyie ndiyo tegemeo la afya na maisha yetu pambaneni na hawa wahuni wasiojali maisha ya watu.
Labda Appalachian, Norfolk Island and Pitcairn Islands word for the Inglish language.Inaitwa IngLish