‘Asilimia 31 ya Watz ni walevi’

‘Asilimia 31 ya Watz ni walevi’

Buswelu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
1,998
Reaction score
359
Takwimu hizo zilitolewa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, ambaye alisema kuwa viwango hivyo vimetokana na utafiti uliofanywa kati ya Februari hadi Oktoba mwaka jana 2012.

Kwa mujibu wa naibu waziri, utafiti huo ulifanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO).

Alikuwa akijibu swali la Abdallah Haji Ali (Kiwani–CUF) aliyetaka kujua kauli ya Serikali kuhusu utumiaji wa pombe ambao umethibitika kuwa ni hatari kwa afya za binadamu.

Pia alipendekeza pombe ipigwe marufuku kabisa hapa nchini kwa kuzingatia madhara yake.
 
Hizi takwimu mbona kama zina utata..??Ina maana walevi wote hawa tulio nao ni asilimia 31 tu..??Mbona bungeni tu tukiwatazama zaidi ya asilimia 80 ni wazee wa viloba..??
 
Hao wabunge washindwe na walegee.
Pombe ziondolewe.
Afu tukayumbie wapi?
Wanacheza hao.

Hivi kweli niache Ndofu? Sirikali itapata wapi fweza za kumpeleka FastJet kwenye matanuzi? Washindwe na watetemeke daadeki!
 
Takwimu hizo zilitolewa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, ambaye alisema kuwa viwango hivyo vimetokana na utafiti uliofanywa kati ya Februari hadi Oktoba mwaka jana 2012.

Kwa mujibu wa naibu waziri, utafiti huo ulifanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO).

Alikuwa akijibu swali la Abdallah Haji Ali (Kiwani–CUF) aliyetaka kujua kauli ya Serikali kuhusu utumiaji wa pombe ambao umethibitika kuwa ni hatari kwa afya za binadamu.

Pia alipendekeza pombe ipigwe marufuku kabisa hapa nchini kwa kuzingatia madhara yake.

Hapo kwenye red nimepapenda!
 
Back
Top Bottom