wisewriter
Senior Member
- Mar 26, 2015
- 106
- 62
tafuta mchepuko wewe acha ujinga dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake na dawa ya moto ni motoo
Hi inanikumbusha jamaa yangu mmoja alikuwa na case kama yako na alichofanya ni kumkabili mkewe aakakataa hisia zote za mumewe kuhusu kukosa uaminifu.Ukweli ulikuja dhihirika baada ya mkewe kugunduliwa in muathirika was ukimwi nasikia walitengana.Ninaweza kukushauri acha kushirikiana naye tendo la ndoa had mpime wote kwa muda wa miezi 6-12 akiwa salama mhamishe muishi pamoja.mke anapokuwa mbali majaribu ni mengi na ni wachache sana wanaoushinda mtihani huo na hasa Dar city.