Asilimia 100% Leo mke wangu kanisaliti

Asilimia 100% Leo mke wangu kanisaliti

Usimuulize kitu, aga kazini fanyie suprize kesho. Kama hajajisuicide kwa uongo wake.
 
Usihisi ebu fanya uchunguzi kwanza la sivyo waweza pata maradhi
 
Hapo nadhani tayari kichwani una movie yote jinsi anavyobanjuliwa kitandani, aisee pole sana jikaze fanya utafiti halafu ufanye maamuzi magumu kiongozi halafu kinondoni sio mahala pa kuacha mke

Teh teh teh ulitaka akamfiche Goba nini mkuu
 
dah pole sana ila kuchapiwa ni siri ya ndani labda network ebu nipe # na mie nijaribu kumpigia
 
kaka mpigie jirani yako umuulize je mkewangu yupo home akikujibu hayupo ujue ameenda kwenye mechi ya ndondo.
 
Wewe kimaumbile ni mwembamba sana lakini mtu akikuangalia una mwili wakunenepa ila umegoma.

Halafu vimifupa juu ya mashavu vimekutoka. Pia macho yako yapo kama unakerwa na moshi.

Bisha kama haupo hivyo! !

Huo ndio muonekano wa Mtu mwe wivu wa kimapenzi uliopitiliza. Wengi hawanenepi sababu ya hisia tu.

Ahahahahaa lol
 
Unacholalamika ni nini,kosa ni lako.Wewe huwezi kuishi mkoani na mwanamke aishi Dar.utegemee mambo yawe smooth.Yakiwa smooth ni bahati tu.Kama utaivunja hiyo ndoa chanzo itakuwa ni wewe.tafuta kila njia uishi na mkeo kama unataka ndoa yenu idumu.Nahisi hata wewe huko mkoani ni kicheche.
Heshima kwenu wakuuu,

Naandika hapa na maumivu ya moyo makubwa sana mke wangu kipenzi yuko Dar es salaam mimi niko mkoani.

Leo toka mchana mke wangu kanambia simu yake haina charge umeme umekatika lakini kitu cha kushangaza simu zake zote mbili zimezima kwa wakati mmoja toka huo mchana mpaka saizi.

Na kibaya zaidi anaishi Kinondoni kwa Manyanya na kila nikiulizia majirani naambiwa umeme upo toka asubuhi na nimetuma mtu mpaka hapo nyumbani kuna umeme.

Kibaya zaidi nimeingia kwa page yake Fb nimekuta mwanamke anamshambulia mke wangu kuwa aachane na bwana wake.

Iam passing through hell right now na bado simpati mke kwa simu.Maumivu niliyonayo is only God knows.
 
The Missus is probably getting it as we speak, and you're here seeking comfort? I'm keeping my money on this one. If i was the man, i'da turned Bruce Wayne and turn the whole world Gotham, than dying slowly wondering if she being stroked or not. You would've too if you heard...

Where you at? Flippin' jobs, payin car notes?/
While he swimmin' in ya woman like the breast stroke!/
Right stroke, left stroke was the best stroke/
Death stroke - tongue all down her throat!/
Nuthin left to do but send her home to you, he's through! - Can ya sing the song for me, boo?/
 
Ameamua kutoka nje ya ndoa kwa hiari yake mwenyewe, kwani amebakwa?? Huna haja ya kuumiza kichwa chako bhana, kwani wakati unamuoa ulimkuta bikira?? Hapana bhana, maswali mengine lazima tujiulize, kama hukumkuta bikira wakati unamuoa ina maana alikuwa anatombwa na wengine kabla yako. Sasa roho inakuumia nini leo?? Wewe binafsi hujawahi kutomba mwanamke mwingine zaidi yake??? Seriously??? Mimi sijui lakini all in all huna haja ya kuumia roho.

Anyway, ukiona amekushinda, rudisha kwao mkuu! Au vipi temana naye, agiza konyagi nyingine, kisha tafuta demu mzuri kupita mkeo, yaah, mzuri kupita mkeo. Wakati unamtomba chukua nae picha za video kisha mtumie mkeo kwenye whatsapp. Hapo ngoma draw. Dawa ya moto ni moto
 
daaa hapo unatengeneza images flani hivi..unaona kabisa kama unashuhudia mchezo,,pole sana mkuu

mimi nipo kino mkuu huku wake za watu wanapenda sana visharobaro
 
If a person is helping you to repair a crack, thank him, if he helps you to build a wall, avoid him. He may end up claiming ownership one day. Anachofanya jamaa ni kumpunguza genye in your absence...
 
Back
Top Bottom