isambe
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 2,195
- 1,410
Dogo kuchapiwa ni siri ya ndani , kuwa mnyonge pia uamuzi unao mwenyewe , in reality mpaka ameamua ku cheat (kama ni kweli) , ujue hana mapenzi ya dhati na wewe , huyo kapata mjanja anaye yajua mambo ,halafu huko kinondoni kuna kila aina ya vishawishi , ukianza na pale american chips labda kadanganywa na vihepe vya pale au ndio wale wabwia unga maana nasikia eti wakiubwia ejaculation mpaka kesho yake.