fikikungetaa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2015
- 331
- 79
yaani miaka hii ya leo: usipooa shida, ukioa shida. Hatupumui jamani!
sio mara zote mwanamke akikuzimia simu basi ana cheat
mwanamke anaweza kukupigia simu na kukueleza sweet words huku yuko kitandani na bwana
sio kila unachodhani ndo kilivyo
Neno hilo
Tena anakupa maneno ya mahaba mpaka kichwa kinavimba kumbe huku anapapaswa na mwingine
Mtoa mada hofu yake ndio inayomuumiza
Heshima kwenu wakuuu,
Naandika hapa na maumivu ya moyo makubwa sana mke wangu kipenzi yuko Dar es salaam mimi niko mkoani.
Leo toka mchana mke wangu kanambia simu yake haina charge umeme umekatika lakini kitu cha kushangaza simu zake zote mbili zimezima kwa wakati mmoja toka huo mchana mpaka saizi.
Na kibaya zaidi anaishi Kinondoni kwa Manyanya na kila nikiulizia majirani naambiwa umeme upo toka asubuhi na nimetuma mtu mpaka hapo nyumbani kuna umeme.
Kibaya zaidi nimeingia kwa page yake Fb nimekuta mwanamke anamshambulia mke wangu kuwa aachane na bwana wake.
Iam passing through hell right now na bado simpati mke kwa simu.Maumivu niliyonayo is only God knows.
sio mara zote mwanamke akikuzimia simu basi ana cheat
mwanamke anaweza kukupigia simu na kukueleza sweet words huku yuko kitandani na bwana
sio kila unachodhani ndo kilivyo
matatizo ya distance relationships ndo haya, kila wakati kuhisi hisi tu!!
.... If i was the man, i'da turned Bruce Wayne and turn the whole world Gotham, than dying slowly wondering if she being stroked or not.....
[/I]