Asilimia 100% Leo mke wangu kanisaliti

Asilimia 100% Leo mke wangu kanisaliti

Pole sana mkuu ndio mambo ya ndoa hayo huwezi kuzuia kuchapiwa.
 
Kama umemtuma Jirani yako kuangalia Umeme kwa nini hukumtuma ampe simu mama uongee nae?
 
Mfanyie surprise visit.....ujue kinachoendela dar mpululu
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwenu wakuuu,

Naandika hapa na maumivu ya moyo makubwa sana mke wangu kipenzi yuko Dar es salaam mimi niko mkoani.

Leo toka mchana mke wangu kanambia simu yake haina charge umeme umekatika lakini kitu cha kushangaza simu zake zote mbili zimezima kwa wakati mmoja toka huo mchana mpaka saizi.

Na kibaya zaidi anaishi Kinondoni kwa Manyanya na kila nikiulizia majirani naambiwa umeme upo toka asubuhi na nimetuma mtu mpaka hapo nyumbani kuna umeme.

Kibaya zaidi nimeingia kwa page yake Fb nimekuta mwanamke anamshambulia mke wangu kuwa aachane na bwana wake.

Iam passing through hell right now na bado simpati mke kwa simu.Maumivu niliyonayo is only God knows.

Mkuu natafuta hizo 100 %sijaziona sababu amezima simu, au sababu ya facebook kama Tumia maarifa sio hisia tafuta fact sio ndoto wanawake wengi hawajali kuchaji simu kwa wakati mbona hata mie kunawakati simpata hewani na umeme upo sijawai kufikili hivyo wewe ndiwe mzee wa michepuko na unazima simu kawa hiyo unafikili na mkeo ni hivyo fanya utafiti kabla ya kukurupuka
 
Heshima kwenu wakuuu,

Naandika hapa na maumivu ya moyo makubwa sana mke wangu kipenzi yuko Dar es salaam mimi niko mkoani.

Leo toka mchana mke wangu kanambia simu yake haina charge umeme umekatika lakini kitu cha kushangaza simu zake zote mbili zimezima kwa wakati mmoja toka huo mchana mpaka saizi.

Na kibaya zaidi anaishi Kinondoni kwa Manyanya na kila nikiulizia majirani naambiwa umeme upo toka asubuhi na nimetuma mtu mpaka hapo nyumbani kuna umeme.i

Kibaya zaidi nimeingia kwa page yake Fb nimekuta mwanamke anamshambulia mke wangu kuwa aachane na bwana wake.

Iam passing through hell right now na bado simpati mke kwa simu.Maumivu niliyonayo is only God knows.
Mpululu ni jina la kike
 
pole sana mkuu cha msingi msamehe pia usimlipizie kwa kutafuta mchepuko....Pitia thread ilio na title hii ``kwa mlio kwenye ndoa na wengine karibuni''
 
Hakuna madhara ya moja kwa moja kuchapiwa mkeo, ile kitu ni km mpira, inatanuka na kusinyaa...wivu ni kuendekeza tu wala hauna maana yoyote!

Kuna dogo aliimba kuwa kuchapiwa ni siri ya ndani, jikaze dogo na wala huna haja ya kuumia moyo wako!
 
The greatest enemy of the children of God lies in the way they PERCEIVE things
 
Ki ukweli kabisa hapa tatizo ni huyo mke kuzima simu siku nzima. Hapo ndio shida ilipo maana ni dharau kubwa sana kana kwamba huyo mpululu design wa rombo, atafanya nn kwani.
 
Lakini ni kweli, Dar siku hizi za kujiandikisha vitambulisha vya kura, umeme unasumbua sana. Unaweza katika asubuhi moaka jioni.
 
Heshima kwenu wakuuu,

Naandika hapa na maumivu ya moyo makubwa sana mke wangu kipenzi yuko Dar es salaam mimi niko mkoani.

Leo toka mchana mke wangu kanambia simu yake haina charge umeme umekatika lakini kitu cha kushangaza simu zake zote mbili zimezima kwa wakati mmoja toka huo mchana mpaka saizi.

Na kibaya zaidi anaishi Kinondoni kwa Manyanya na kila nikiulizia majirani naambiwa umeme upo toka asubuhi na nimetuma mtu mpaka hapo nyumbani kuna umeme.

Kibaya zaidi nimeingia kwa page yake Fb nimekuta mwanamke anamshambulia mke wangu kuwa aachane na bwana wake.

Iam passing through hell right now na bado simpati mke kwa simu.Maumivu niliyonayo is only God knows.

Mkuu kwa jina lako hilo maana take wewe ni lile kabila ambalo liko wilaya moja Dodoma. Kama mke wako pia ni kabila hilo basi atakuambia alikuwa kwa kaka zake maana kiukweli hao jamaa ni tatizo. Lakini kumbe alikuwa anagegedana.kama tatizo ni charge ndo maana hapatikani, na umehakikishiwa umeme upo,hiyo ni sababu tosha ilonifanya Mimi limpige chini aliyekuwa mchumba Wangu katika hatua za mwisho.najua unajua kuwa umechapiwa ila kuamini ndo shida. Pigs chini, hamjazaliwa wote, utaumia,utasahau,maana kupigiwa Siku hizi noma sana, vijana hawakawii kukupigia wife hadi kwenye mtandao pendwa
 
Back
Top Bottom