Asili ya Maumbile na Kuridhishana Kimahaba

Asili ya Maumbile na Kuridhishana Kimahaba

Hii ya kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye mna ukaribu wa ukanda au Kabila ina make sense, mie shuhuda wa hili.

Japo sahivi......... Au bas. Lol 😂😂😂😂😂
 
Hii ya kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye mna ukaribu wa ukanda au Kabila ina make sense, mie shuhuda wa hili.

Japo sahivi......... Au bas. Lol 😂😂😂😂😂

Tupe ushuhuda mwijukulu wanne...!!

Fungukamo tuu usiogopee..😁😁
(In sukumaz voisi).
 
Wale tuliokulia vijinini tunaelewa namna ya kutenga majifya ili sufuria/chungu kikae vizuri na chakula kiive.

Chungu kidogo huwezi kukitengea majifya majabali, kinachopikwa hakitaiva inavyotakiwa kama hakitaungua kitababuka. Shurti mafiga ya jiko yawe sawia na saizi ya chungu ndo kinachopikwa kiive sawasawa hata mlaji afurahie msosi mezani.

Na kuni zitawekwa saizi ya majifya yaliyotengwa....

Elewa neno, saizi hapo ndo kitenzi kikuu...😋😋😋😜.
Kwahiyo chungu kikubwa na mwiko uwe mkubwa?? 😹😹

Ila bibi unayaweza itabidi nikutafute unifunde..!!
Sema libabu nyani linafaidi mautundu yako..🤣
 
Hii ya kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye mna ukaribu wa ukanda au Kabila ina make sense, mie shuhuda wa hili.

Japo sahivi......... Au bas. Lol 😂😂😂😂😂
Kwamba dadako niendelee kutulia Unyakyusani Mlongo?
 
Wakulungwa natumai hamjambo,

Waliosema mjaa asili haachi asili hawakukosea....

Umri unaenda ila Mahaba ndo donda ndugu tena, tumegandana kama nyama na ngozi eehehehehehee, ngozi hiyohiyo unayoijua wewe ona mnavyotabasamu aahahahhahaaa tusidanganyane banaa Mahaba matamuuu 😋😋😋.

Aliimba Ali Kiba, mapenzi yana run dunia.... haya wacha niache alfulelaulela niende kwenye kilichonileta hapa.

Kuna nyuzi kadhaa nimesoma zikiongelea maumbile ya mwanaume na wengine wakisema ya wanawake na wanaishia kwenye kutoridhishana kingono kutokana na maumbile hayo matokeo yake kulaumiana hawaridhiki au chanzo cha kuchepuka....

Aka vibamia na mashimo kwa wanawake.....

Enzi zetu kule Tabora vijijini tukifundwa na bibi zetu walituasa tukiwa tayari kuolewa tusitoke nje ya ukanda wa bara maana huko tutakutana na wanaume ambao tutaweza kuwahimili mizigo yao, asili ya wanaume wa bara ni mizigo mizito na wanawake wa bara ni kuhimili mizigo hiyo. Sana sana bibi mmoja akatuasa ikikubidi sana unaweza olewa na wanaume wa Kanda ya ziwa hao nao si haba ila zaidi ya hapo usijeukarudi hapa unalialia.
Walituambia hivyo wakituasa kuwa ndo maana wazee walisisitiza sana watu waoane ambao wanatoka maeneo ya jirani yaani wenyewe kwa wenyewe maana ndimi zao zinatoshana. Mfano, jamani nasisitiza mfano....

Wachaga au wamasai wanatoshana na wanawake wao, ukikuta mwanaume wa kichaga saizi yake inatoshana na mwanamke wa kichaga vivyo hivyo kwa makabila mengine au jamii nyingine.

Sababu za kutotafuta mwenzi wa maisha mbali na asili ya ulikotokea kwa enzi zetu zilikuwa nyingi ila hii ya kuhakikisha skruu inafiti kwenye nati ilikuwa mojawapo na kuu.

Sasa pata picha mtulinga wa kihaya ukaoe msambaa ambae kipokeo kifupi, ndo yale mambo ya kuvalishana ringi ili asimuumize mwenzie... wakati huohuo huyu mhaya anakuwa hard haridhiki maana haiingii yote, yaishia juujuu ili asiharibu maini ya mkewe....🤪 ya nini wakati Mungu alishaweka asili ya kutosheana kimaumbile kutokana na asili zetu...!!?

Vivyo hivyo, mdada wa kinyakyusa na mshepu huo ameumbwa tayari kuhimili mikiki ya ndizi mzuzu za kinyakyusa, akienda kuolewa na mwarabu anatafuta sononeko la maisha tuu na kujitakia kuchepuka baadae maana hafikiwi hadi mwisho wa kisima eeheheheee nacheka kama mazuri...😅😅😅.

Kiukweli enzi zetu tulikuwa wasikivu na ilipelekea mambo kuwa shwari mida ya wanga hakukuwa na lawama.
Japo si wote, mie nilikimbia kambi yakanikuta ya kunikuta nikawachana na mambo hayo nikabaki na Mahaba tuu, si haba 😉.

Tulia, mtafute wa saizi yako ndo muendelee kuridhishana.

Kuna huyu mubaba, ehehehehe acha tuu. Mwenyewe kwanza alidata, maana alipokuwa ananifata alinichukulia poa, alichokutana nacho hakuamini 😁😁. Yuko wee mwanamke hata nikisafiri wiki mbili naanza kukumbuka kurudi nyumbani, wasije wakanitafunia Kasinde wangu wahuni wa Dar ehehehehe...

Hiki ni kibwagizo tuu cha uzi, usichukulie sirias sana.

Enjoy na mpenzi wako mtafute mbwinu mbadala wa kuridhishana na mtulizane magonjwa mengi sikuhizi.

Dhamira Kuu: Mapenzi 😋😊🤌.

Bibi Mahaba,

Kasinde.
Tamu za Kasie
 
Kwahiyo chungu kikubwa na mwiko uwe mkubwa?? 😹😹

Ila bibi unayaweza itabidi nikutafute unifunde..!!
Sema libabu nyani linafaidi mautundu yako..🤣

Eewaaahh, hapo umefuzu kidatooo somo.
Karibu darasani kwa masomo zaidi maana hayaishi.

Mautundu hapa kama chemchem kila siku yanabubujika mapya, saa ingine hata mimi mwenyewe najishangaa.... babu yenu ndo kabisaaa yeye kila siku kwake ananiona mpya eehehehehehe 😁😁.
 
Sipatii picha ujana wako ilikuaje, ungezaliwa afu mbili tungekoma

Ahahahahaa hukohuko miaka ya alfmiatisa ndo kumenifaa, sitaki hata kuwaza ningekuwa tusausandi sijui ningekuweje....😜.

Ujana sikuutumia vibaya, elimu ya mkoleni ilinikaa, heshima kwa adabu, khanga kiunoni muda wote, kujishughulisha shughuli za nyumba hadi za kitandani.... ehehehehee huwa siwezi kutulia yaani vurugu vurugu tuu 🤪🤪🤪.
Halafu mpoleee, aibu za kike kama zote 🤩.

Hii versheni ya ukubwani bin uzeeni balaa maana imemiksi shisha bange na kilakitu.....🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️.
 
Eewaaahh, hapo umefuzu kidatooo somo.
Karibu darasani kwa masomo zaidi maana hayaishi.

Mautundu hapa kama chemchem kila siku yanabubujika mapya, saa ingine hata mimi mwenyewe najishangaa.... babu yenu ndo kabisaaa yeye kila siku kwake ananiona mpya eehehehehehe 😁😁.
Awww 😍😍
Lazima babu apagawe kwa maufundi hayo..!!
Mi nakaribia class unipike nipikike nikamnyooshe mjukuu wako..!!
 
Bibi Kasie,kwanza niseme mie nakuhusudu sana,lkn pia ulichokiandika hapa kwa kweli kina akisi ukweli mtupu..
Niliwahi kujaribu mdada wa uko kwenu Kanda ya ziwa ,,hakika ni kama nilikuwa naingiza kwenye ziwa...ila nikigusa hizi Kanda za home ni poa tuu.

Umeona sasa, hapo imeleta majibu sawia kutokana na asili.
Kama wewe si mzaliwa wa kanda za bara au kanda ya ziwa, tuchukulie mfano asili yako ni kanda ya mwambao aka pwani uje kumsmashi mdada wa kanda ya ziwa au bara..... wewe utamuona dada bwawa, utajiona unaogelea, na yeye atasema huyu kaka kibamia katokea wapii...!!!
Lakini ukirudi kwa wadada wa asili ya ulikotokea aaaahhhhh, mambo msuano, nati inakaza bila praizi nde mpaka mwisho na wote mnafurahia.

Kiufupi hakuna mwenye kibamia wala mwenye bwawa, ukikutana na hiyo hali ujue huyo sio saizi yako umevamia.

Kuna mwenye saizi yake wanafitiana hadi wanacheua.

Shida zetu tamaa kutaka kuangalia muonekano wa mtu halafu unaanza kumpigia mahesabu kitandani ntakuwaje nae matokeo yake disappointments.

Unakuta mdada ooh nataka mkaka mrefu, mwenye misuli halafu kiatu anavaa saizi 44 weeweeehh umejiangalia urefu wa chungu chako utahimili au unatafuta kuchanwa.... na hapo mkaka hatofurahia sana sababu haiingii yote.

Hawakukosea waliosema, kila mtu na mtu wake....

Maneno hayaniishi mimi najikuta natitririka tuu, wacha ninywe togwa kwanza 😜.
 
Back
Top Bottom