Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,229
- Thread starter
- #81
Nadhani hujakutana na sisi wamakonde weye😎
Aahahahahahaa kwani mmakonde chi ntu...!!!?😅😅😅😅.
Nyie bana sijawahi kukutana na wa ukanda huo ila kwa sifa nnazozisikia namna mnateka mtu mazima, naogopa kabisa.
Pona yangu nshazeeka hovosina nafasi tena ya kukutana na wamakomde, kila la kheri kwa ambao bado wana nafasi ya kukutana na moto wenu...😜.
Nilipokuwa mdogo tulikuwa na wafanyakazi wa shamba wengi walikuwa kutoka Msumbiji na walijitambulisha kama wamakonde.
Sasa akija mgeni nikiulizwa wewe kabila gani, nasema mmakonde...!!😁.
Manangumene nkunyole...🤪.