GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,335
- 4,330
Siwezi hata kuzungumza mengi.
Ni kwamba leo katika harakati za kugegedana na mpenzi wangu mara hamadi nikakuta maandishi katikati ya mapaja yake meupe na manene.
Hayo maandishi yanasomeka hivi, "Mshana mtu mbaya" Mbele ya maandishi hayo kuna mchoro wa kopa na ua jekundu.
Dah! Nimeishiwa nguvu kabisa na imeniuma sana ila yeye hajui kama nimeona maana mpaka muda huu bado nimemkaushia.
It pains so deeply