Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,070
"Mshana mtu mbaya" [emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]Siwezi hata kuzungumza mengi.
Ni kwamba leo katika harakati za kugegedana na mpenzi wangu mara hamadi nikakuta maandishi katikati ya mapaja yake meupe na manene.
Hayo maandishi yanasomeka hivi:-
"Mshana mtu mbaya"
Mbele ya maandishi hayo kuna mchoro wa kopa na ua jekundu.
Daah nimeishiwa nguvu kabisa na imeniuma sana ila yeye hajui kama nimeona maana mpaka muda huu bado nimemkaushia.
It pains so deeply
Jr[emoji769]