Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

Mkuu ninaomba kama kuna mwenye kuikumbuka ile kesi ya mauaji ya kijana mmoja aliyemuua dada yake hapo Upanga karibu na Palm Beach miaka ya 80 nadhani - mtoto wa Mzee Nombo atuhabarishe. Ilisikitisha sana.

hii kama vile ina ring a bell, n mie nimesahau story. ilikuwa mafkletini au? ilikuwaje kama unakumbuka kidogo?

Mtambuzi tunasubiri more
 
Kuna kesi nyingine ya kijana aliyerushwa ghorofani akafa lkisa ali gatecrash party maeneo ya upanga.

Host wa party alikua anahisi marehemu alikua na uhusiano na girlfriend wake. Marehemu alikua somebody Makata, kaka wa dr. Masha Makata.

Watuhumiwa waliotiwa ndani walikua watoto wa wakubwa wa enzi hizo, waliwekwa ndani lakini sio selo bali muhimbili "wagonjwa!" mmoja alikua mtoto wa Tandau, mtu mkubwa ccm miaka hiyo.

Sikumbuki hii kesi iliishaje
 
Mtambuzi;

Hongera kwa kutuletea kesi kama hizi - utadhani murder za smoking gun!

Ila tusisome tu kama hadithi.Tujaribu kuibua mafundisho humo ndani na nitaanza kama ifuatavyo:

MTM kasema adui wa mwanamke ni mwanamke. Nakubali kabisa. Wanawake wenye kuchukua waume za watu kwa nyodo nadhani mumejifunza somo hapa. Historia hujirudia na ikijirudia huwa mbaya zaidi ya mwanzo.Hata JF mumpo.

Msijejikuta mko kwenye shuka na kutumbukizwa jalalani kama marehemu Happiness Senzota!
 
hii kama vile ina ring a bell, n mie nimesahau story. ilikuwa mafkletini au? ilikuwaje kama unakumbuka kidogo? Mtambuzi tunasubiri more
Agenidadavulia zaidi ningeweza kuitafuta........
1. Jina la mtuhumiwa anaitwa nani?
2. Aliyeuawa anaitwa nani?
3. Ilikuwa ni mwaka gani hasa?
4. Ilitokea eneo gani?
5. Mtuhumiwa alipatikana na hatia au la?
 
Kibukuasili;

Kama hakukuwa na kesi, hiyo itakuwa ngumu kuipata..............Mimi narejea kesi ambazo zilishakuwa zimetolewa uamuzi na mahakama...............
Kama unazo data zaidi, nimwagie hapa, nitazitafuta..................
 
Last edited by a moderator:
Haya Mtambuzi tunasubiri utuletee kesi hizi, naona zimetajwa nyingi. Thanks Mkuu
Mpaka sasa zimeshafika 14................Na bado ninazo 10 kwenye Maktaba yangu.................Sijui zitakuwa Ijumaa ngapi hapo.............Hebu nikokotoleeni maana mie kilaza wa hesabu..............LOL
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana. Nilikuwa shule ya msingi miaka hiyo. Kwa kweli nilikuwa naenda kasi kutafuta magazeti ya wakati huo, Uhuru, Mzalendo na Kiongozi kuifuatilia.
 
Mkuu ninaomba kama kuna mwenye kuikumbuka ile kesi ya mauaji ya kijana mmoja aliyemuua dada yake hapo Upanga karibu na Palm Beach miaka ya 80 nadhani - mtoto wa Mzee Nombo atuhabarishe. Ilisikitisha sana.
KUMBUKUMBU zangu ni suspect kidogo,marehemu alikuwa ni mke wa mfanya biashara maarufu na tajiri mkubwa mwanza Mr D----o,hence marehemu akawa na biashara zake ambazo alimshirikisha mtuhumiwa ambaye ni mdogo wake,biashara ikawa haiendi sawa kutokana na huyo bwa mdogo kufuja mali.Dada akamuweka bench mdogo wake,the next thing jamaa akachinjachinja sister.inasemekana uvutaji mkubwa wa bangi ndio ulisababisha huyu jamaa kuwa mental na kufanya hicho kituko.
 
Kibukuasili

Baada ya mbwana makata kuuwawa kwa kutupwa ghorofani kuna wengi wanahisi there was a big cover up.

Hawa watoto wa wakubwa kuwekwa ndani was just a smokescreen, cause inasemekana the really culpits merely adults waliohusika, ambao wengine wanahold prominent positions tanzania were never touched, Makata ali gatecrash na he happened to be going out with one of the organisers girlfriends-which proved fatal.

To this day family is praying for justice to take its course
 
Shadow

Samahani nilikuwa nafanyia kazi swali lako.
Asha alikata rufaa lakini rufaa yake ilitupwa.
 
Last edited by a moderator:
hiki kisa clouds wameanza kukisimulia leo katika leo tena.... kesho wataendelea...

nawashauri waseme source basi - maana wamesema wameitoa mtandaoni kupitia google .. nina uhakika 70% watakuwa wameipakua humu
Ni vyema MODS wafanye mawasiliano na CLOUDS kuwakumbusha kutaja SOURCE, Huo ni sawa na uharamia wa habari.............
 
Back
Top Bottom