Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

Hivi mpaka leo kesi ya mauaji kuna kuwa na jury wawili tu?

Inashangaza sana kuwa Happiness amekubali kwenda kwa Asha, licha ya kuwa alikuwa akimchukulia mume wake ....

mimi kitu kingine kinachonishangaza kwenye kesi hii, huyu Happy hakuwa na ndugu labda ambao wangekuwa wanamtafuta hajarudi nyumbani, sambamba na labda kuripoti polisi, maana pengine houseboy asingesema, ina maana haya yote yasingejulikana ?

huyu dada alishafungua kesi kuwa anatishiwa maisha, hakuwa ameongea na labda hata nduguze ili hata yakimkuta ya kumkuta mtu mwingine aweze hata kumtafuta... its a bit strange..
 
Asante kwa kesi hii ndefu, nimeipitia kwa haraka haraka ila nitaisoma vizuri jioni nikiwa nimetulia.
Kuna ya mama Liundi pia, aliua watoto sababu ya wivu wa mapenzi pia. Wanaume kama kawaida yenu chanzo cha matatizo.
Mtambuzi;
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mtambuzi!
Ni ajabu huyo happy aliongozanaje na Asha mpaka kwake tena!
kama kawa kujitetea lazima lakini hata kipengere kuwa marehemu alishareport kutishiwa kuuwawa na the same person kilikuwa kinarukwa! au ndo kuzungusha mambo tu!
Angeendelea kukwepaje! Kaburi alishachimba! Akamuondoa houseby kijanja! kesi ilikuwa iko mahakamani tayari!
Dah! ailinyongwa au alikata rufaa?
 
Twande

Ili anyongwe ni lazima rais atie saini. Inasemekana kipindi cha Nyerere alisaini mtu mmoja tu anyongwe.... Yule Mwamwindi aliyempiga Shaba mkuu wa Mkoa Dr. Kleruu. Yawezekana bado anaozea jela au kishaRIP kama alivyojitetea kuwa alikuwa mgonjwa. Mgonjwa na magereza yetu haya utaishi miaka mingapi?
 
Last edited by a moderator:
Ili anyongwe ni lazima rais atie saini. Inasemekana kipindi cha Nyerere alisaini mtu mmoja tu anyongwe.... Yule Mwamwindi aliyempiga Shaba mkuu wa Mkoa Dr. Kleruu. Yawezekana bado anaozea jela au kishaRIP kama alivyojitetea kuwa alikuwa mgonjwa. Mgonjwa na magereza yetu haya utaishi miaka mingapi?

Watu 10 walinyongwa hadi kufa kipindi cha Nyerere

(a) Mheshimiwa Spika, jumla ya watu 82 wamenyongwa kuanzia awamu ya
kwanza hadi awamu hii ya nne. Kati ya watu hao, 10 walinyongwa wakati wa awamu ya
kwanza na 72 walinyongwa wakati wa awamu ya pili. Hakuna ambaye alinyongwa
wakati wa awamu ya tatu na awamu ya nne.

Chanzo: Bunge la Tanzania
 
Ahsante mwalimu,

Nimekoma kusikiliza hadithi za mitaani.... Khaa! Mwinyi alikuwa hataki masihara eh? Miaka 10 watu 72? Na shujaa wangu naye alikuwa muuaji kumbe?... Kazi ya urais ni ngumu sana aisee....!

Hiyo hadithi ya mtu mmoja labda iwe Nyerere "anajutia" kutia saini ya mtu huyo mmoja na wengine 9 waliobaki hakujutia kuwanyonga hadi kufa

Mwinyi si mchezo, kasafisha gereza! Ben Na Jakaya wanapiga dane dane hukumu, wanaacha tunawalisha na kuwalaza bure wahalifu
 
Mtambuzi;
mkuu, i salute you for this.

however i have a quick querry - how comes ushahidi uliotumika ni wa kimazingira zaidi?

i am a good fun of legal practice and thus i usually follow crime and investigation stories za wenzetu where by "beyond reasonable doubt has to consider things like fingerprint, dna etc.

querry yangu ni kuwa with the absence of this enzi hizo - how was our judicial system able to conclude cases like this?
haiwezekani ikawa maybe there was another party involved in thi?
 
Yaani nilipoona tu jina nikasema wow ngoja niisome, mengi tuliyasikia wakati huo wa tukio nilikuwa mdogo na ndugu zangu walikuwa wanaishi mtaa mmoja na nyumba hiyo ya Haule's. yaani nakumbuka kwenda kuchungulia kuangalia pembeni ya nyumba alipochimba shimo. napoandika hapa naiona hiyo nyumba kama vilenipo mbele nimesimama.

Ilisikitisha sana tukio hili mitaa ya Upanga. Ilikuwa nyumba ya bangalow then pembeni bangalow then upande mwingine kushoto kwake gorofa ya flat 6 au 8 hivi.

Eeeh nimekumbuka kuchungulia kuliwezekana sababu ilikuwa senyenge na vmichongoma vya kuzuia watu wasione ndani ila vilikuwa na unafasi sehemu sehemu so unaona compound yote yao. shimo ulikuwa unaona lilipo chimbwa as ukiwa mbele unaanga
lia nyumba ilikuwa upande wa kulia kwako.

nakumbuka huyo mama kumuona mtaani. ni kama vile nakumbuka bday parties pale kitu kama hicho. ila maisha yao kweli yalibadilika baada ya hili jambo.

Kweli kesi ilikuwa zungumzo kubwa wakati huo.

Shukurani kwa kutuletea kesi hizi, nitakuwa natafuta posts zako, itakuwa pouwa ukiweka neno KESI mwanzoni wa kichwa cha habari.
 
Tsidekenu

Mkuu umesema vyema. Manake kuna mwanamke huyo mmoja wa makamo, kumchoma moto mtu, kumzonga na mkeka, kumburuza hadi bustanini, kumzika, bila ya majirani kuona kweli asubuhi hiyo ya saa tano?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mtambuzi hii ni kiboko ya njia...

Taf endelea kutupa kesi nzito za miaka hiyo,na hasa za Tanzania... Kwa maoni yangu..

Je,Asha alikufa kifo cha kawaida au "alifanikiwa" kunyongwa?
 
Mkuu umesema vyema. Manake kuna mwanamke huyo mmoja wa makamo, kumchoma moto mtu, kumzonga na mkeka, kumburuza hadi bustanini, kumzika, bila ya majirani kuona kweli asubuhi hiyo ya saa tano?

Kweli mkuu it doesnt make sense kabisa - kuna mdau anasema hapo juu kuwa fensi ilikuwa na viupenyo ambavyo mtu angeweza kuona the whole compound! i just thinking loud aliwezaje kufanya yote hayo na hata mpita njia asione??? au it was just coincidence? i really do have a lot of doubt here!! yes mama alihukumiwa but i dont think this was beyond reasonable doubt!!!
 
Mkuu umesema vyema. Manake kuna mwanamke huyo mmoja wa makamo, kumchoma moto mtu, kumzonga na mkeka, kumburuza hadi bustanini, kumzika, bila ya majirani kuona kweli asubuhi hiyo ya saa tano?

....hapana, ni kweli hakuna jirani aliyesikia au kuona lolote kwa mazingira ya ile nyumba. Mind you, ...wkt huo, nyumba hiyo gati lake pia lilikuwa latazamana na gati la makao makuu ya jeshi,..

....next, ...inasemekana, baada ya kumtuma hse boy dukani ...mitaa ya kitonga...ndipo yalipofanyika mauaji hayo, kisha akamkata vipande na kumvingira kwenye 'parcel'....

Hseboy aliporudi ndipo alipotakiwa achimbe shimo...'maiti' ifukiwe .....ingechomwa moto sote mtaani tungejua...
 
Back
Top Bottom