huyu asha ndo yule mwanzilishi wa,''Ameufyata?
dah ingekua ebola ingependeza sana na hivi ukawa hawapo basi wangeambukizana wenyewe kwa wenyewe,mara mwigulu nae midam hiyoo, af na msaliti samweli six nae apatwe na huo ugonjwa hiyo ndio ingekuwa mwisho wa jeuri zao, majahili wakubwa hao
Pole sana mh mbunge. Mungu akurudishie afya yako haraka
Bunge halitahuzuriwa kuanzia Kesho kwa mafisadi ccm wanao penda posho na kuishi! Ebola Ndio ukawa yenyewe.Ndo BiBi huyu aliporudi Bunge la Katiba pale mwanzo alikuwa anavaa Ninja mitaani watu wasimjuwe kama ni msaliti kule Zanzibar sasa anasumbuliwa na Ebola.,
Mungu amsaidie apate nafuu. Ili arudi bungeni kuendelea kuwapigania watanzania.
Nimempgia simu anasema huu ni uzushi na yupo salama kabisa.
angekufa tu ili hiyo koram magumashi isipatikane! Na arehehemiwe huko alipo! majitu ya CCM yakifa ni sherehe tu kwetu! kwani ndio yanahanikiza mauaji ya watoto na dada zetu wanaokosa gloves tu wakati wa kujifungua! na akafie mbeleMungu amsaidie apate nafuu. Ili arudi bungeni kuendelea kuwapigania watanzania.