Huyu mama si ndiyo alimtukana sanaJussa
Akidi imepungua
Mpaka kupelekwa DSM ni ugonjwa gani huo wa ghafla wakutiririka damu ,akidi ishapungua haya tusubiri mwingine ahamishiwe kujaza nafasi yake ! Mwenyezi Mungu amaalie apone huyu mtu aone mabadiliko ya nchi akiwa hai ! Sipendi kuona CCM anakufa wakati nchi inaingia kwenye mabadiliko makubwa ,wawe hai waone nchi inavyoendeshwa !
Pole sana mama, mbele ya magonjwa siku zote hakuna itikadi za siasa, Tumwombee apone haraka.
Oooooooh huyu mama katuvurugia nidhamu ndani ya BMK,sasa anataka kutuingiza kwenye janga jingine baya kabisa la EBOLA!!!!!!!!.Jamani huyu mama anatutakia nini lakini?????.
haaaa haaaa ww umenifanya nicheke sana.
tumuombee shifaa, mungu ampe afya aendelee na wajibu wake. sisi tunaheshimu mawazo ya kila mtu, tujifunze kusikilizana na kupingana kwa heshima pasipo kufurahi unaepingana nae mawazo mabaya.
bi asha urecave wende ukatoe mchango wako wa taifa na taifa lolote haliwezi kujengwa na watu wenye mawazo mamoja tu. mm sikubaliani na mawazo na mtazamo wa bi asha ila nna mheshimu sana mama yangu
Pole sana mh mbunge. Mungu akurudishie afya yako haraka
Mungu amsaidie apate nafuu. Ili arudi bungeni kuendelea kuwapigania watanzania.
Afe tu bana!Ni yule bingwa wa matusi?