Asanteni Wazanzibari, nawapenda sana

Asanteni Wazanzibari, nawapenda sana

Tunawafuatilia. Tusaidieni kulinda heshima ya Tanganyika na Tume yetu. Kwakuwa wa kwetu hawaeleweki,tunawategemea nyinyi. Wazanzibari mna rekodi ya kimapinduzi na kuthubutu. Mkiamua mnaweza.

Nawaamini na kuwapenda sana Wazanzibari. Mungu awape nguvu msimamie ukweli. Asanteni sana!

Huu ni ukweli unaosikitisha sana mkuu...mara nyingi waBara tunawaona waZanzibari wako nyuuuma saaana na kuwadharau, lakini kiukweli pamoja na kuwa nyuma...wako mbele sana zaidi yetu kimsimamo, na kujua nini kina maslahi kwa Zanzibar, na kutoa tofauti zao za kisisasa kwenye kusimamia maslai ya Zanzibar. Sisi waBara pamoja na wingi wetu, wingi wa wasomi wetu...yaani ni BURE kabisa. Tunashabikia vyama vya siasa, mitazamo ya kisisasa kwa gharama za taila letu la Tanganyika. Shame on us!
 
nahisi urafiki wa mashaka huu rasimu ya sita isipopita ntaburudika saana
 
Wakuu mwenye taarifa zisizo na shaka pls tuhabarishane, vp Sitta kaumbuka tuanze kuimba nyimbo na mapambio?.........Nahisi kushindwa kwa shetani huko kuzimu.

mkuu nakuzabua kofi za likes 45,000
 
by Masiya;
Wawakilishi wa vyuo vikuu watatu (UDSM, SUA, na Mzumbe) wote wamepiga kura ya wazi wakisema NDIYOOOOO. Kazi ipo.

Mkuu Masiya kama hutajali naomba majina yao hapa tafadhali,xx

picha na majina please..
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi,

Umuhmu wa wajumbe wa bmk kutoka zenji ona ulivyo muhmu hasa kwa 6.

Sijui km umuhm huu unaweza endelea huko mbele tuendako, isije ikawa km ganda la ndizi. Umuhmu huu unaletwa na dalili ya mkwamo wa kupata 2 ya 3 ya kura kutoka zenji mana isipopatikana aibu kwa 6 na ccm kwa ujumla, lets wait and c.
 
Humu kuna watu wataumbuka,maana mleta mada kakurupuka tu na watu haooo wanaingia kingi
Hivi nani hajui namna ya upigaji kura ulivyo na ulivyokuwa.
Tatizo wengi wapo makazini na hawakuwa na muda wa kufuatilia upigaji kura.Sasa ukipost lazima watu wata comment kwa ulichosema.
Tena Mleta post ni Verified User.Unakurupuka na habari hii.
Tusubiri then tuta comment uelewa wako
 
Tunawafuatilia. Tusaidieni kulinda heshima ya Tanganyika na Tume yetu. Kwakuwa wa kwetu hawaeleweki,tunawategemea nyinyi. Wazanzibari mna rekodi ya kimapinduzi na kuthubutu. Mkiamua mnaweza.

Nawaamini na kuwapenda sana Wazanzibari. Mungu awape nguvu msimamie ukweli. Asanteni sana!

Umeanza kuwapenda kwa sababu baadhi yao wamepiga kura za hapana.
Huu ni ubinafsi...tuu na kwakuwa amegusa interest zenu!
Uendelee kuwapenda hata wasipo gusa interest zenu
 
Umeanza kuwapenda kwa sababu baadhi yao wamepiga kura za hapana.
Huu ni ubinafsi...tuu na kwakuwa amegusa interest zenu!
Uendelee kuwapenda hata wasipo gusa interest zenu
Mkuu mbona wewe unampenda Nape? Akiacha kuitunza familia yako utaendelea kumpenda?
 
Natamani ningezaliwa Pemba la wala si Urambo Tabora ambako 6 ametuaibisha sana.Hongera Wanzanzibar kwa kura zenu za HAPANA mmetufuta machozi sisi wenye kesi za kuandamana.Sasa hivyi naona aibu kusema mimi ni mzaliwa wa Tabora.
 
Kwani sitta ni mnyamwezi? Angeridhia sehemu alilozaliwa Mtemi Mirambo iende Katavi? Sehemu hiyo inakuja okolewa kwa usaidizi wa mwana Moro? Shame on him
 
Natamani ningezaliwa Pemba la wala si Urambo Tabora ambako 6 ametuaibisha sana.Hongera Wanzanzibar kwa kura zenu za HAPANA mmetufuta machozi sisi wenye kesi za kuandamana.Sasa hivyi naona aibu kusema mimi ni mzaliwa wa Tabora.

hata mimi, 6 siyo..
 
Tunawafuatilia. Tusaidieni kulinda heshima ya Tanganyika na Tume yetu. Kwakuwa wa kwetu hawaeleweki,tunawategemea nyinyi. Wazanzibari mna rekodi ya kimapinduzi na kuthubutu. Mkiamua mnaweza.

Nawaamini na kuwapenda sana Wazanzibari. Mungu awape nguvu msimamie ukweli. Asanteni sana!

Hakika. WAZANZIBAR MSITUANGUSHE.
 
Back
Top Bottom