Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
- Thread starter
- #61
Ni nyinyi tu kututetea
Ni nyinyi tu kututetea
Tunawafuatilia. Tusaidieni kulinda heshima ya Tanganyika na Tume yetu. Kwakuwa wa kwetu hawaeleweki,tunawategemea nyinyi. Wazanzibari mna rekodi ya kimapinduzi na kuthubutu. Mkiamua mnaweza.
Nawaamini na kuwapenda sana Wazanzibari. Mungu awape nguvu msimamie ukweli. Asanteni sana!