Asanteni Wazanzibari, nawapenda sana

Asanteni Wazanzibari, nawapenda sana

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,143
Tunawafuatilia. Tusaidieni kulinda heshima ya Tanganyika na Tume yetu. Kwakuwa wa kwetu hawaeleweki,tunawategemea nyinyi. Wazanzibari mna rekodi ya kimapinduzi na kuthubutu. Mkiamua mnaweza.

Nawaamini na kuwapenda sana Wazanzibari. Mungu awape nguvu msimamie ukweli. Asanteni sana!
 
lete utamu basi Petro E. Mselewa, wengine hatuna TVs hapa...

Tunawafuatilia. Tusaidieni kulinda heshima ya Tanganyika na Tume yetu. Kwakuwa wa kwetu hawaeleweki,tunawategemea nyinyi. Wazanzibari mna rekodi ya kimapinduzi na kuthubutu. Mkiamua mnaweza.

Nawaamini na kuwapenda sana Wazanzibari. Mungu awape nguvu msimamie ukweli. Asanteni sana!
 
Tunawafuatilia. Tusaidieni kulinda heshima ya Tanganyika na Tume yetu. Kwakuwa wa kwetu hawaeleweki,tunawategemea nyinyi. Wazanzibari mna rekodi ya kimapinduzi na kuthubutu. Mkiamua mnaweza.

Nawaamini na kuwapenda sana Wazanzibari. Mungu awape nguvu msimamie ukweli. Asanteni sana!

Mungu ni wa ajabu sana na Matendo yake ni ya ajabu sana. Kwa kufanya iwepo kura ya wazi kwenye hili bmk. Niambieni hapa unachakachua vipi? Hivyo tu basi.
 
Tunawafuatilia. Tusaidieni kulinda heshima ya Tanganyika na Tume yetu. Kwakuwa wa kwetu hawaeleweki,tunawategemea nyinyi. Wazanzibari mna rekodi ya kimapinduzi na kuthubutu. Mkiamua mnaweza.

Nawaamini na kuwapenda sana Wazanzibari. Mungu awape nguvu msimamie ukweli. Asanteni sana!

Nenda kaandamane udai haki yako mtoto wa kiume,unasubiri mbeleko ya Wazanzibar?
 
Tunawafuatilia. Tusaidieni kulinda heshima ya Tanganyika na Tume yetu. Kwakuwa wa kwetu hawaeleweki,tunawategemea nyinyi. Wazanzibari mna rekodi ya kimapinduzi na kuthubutu. Mkiamua mnaweza.

Nawaamini na kuwapenda sana Wazanzibari. Mungu awape nguvu msimamie ukweli. Asanteni sana!

Waznz wamefanya nini?kura zina isabiwa muDa sio mrefu
 
Mie niliwahi kuandika hapa, hawa ndugu zetu wanajitambua sana na wana misimamo thabiti na si rahisi kuyumbishwa.

kule angalau wanajielewa sio kama huku tanganyika ambako nape nnauye (laana iwe juu yake) anadai katiba haina umuhimu na wananchi wanampigia makofi na vigelegele
 
Hamna dhambi kubwa duniani kama dhambi ya uoga....wazanzibar wamedhiirisha sio watenda dhambi asanteni pemba na unguja!
 
Tunawafuatilia. Tusaidieni kulinda heshima ya Tanganyika na Tume yetu. Kwakuwa wa kwetu hawaeleweki,tunawategemea nyinyi. Wazanzibari mna rekodi ya kimapinduzi na kuthubutu. Mkiamua mnaweza.

Nawaamini na kuwapenda sana Wazanzibari. Mungu awape nguvu msimamie ukweli. Asanteni sana!

Hebu weka hesabu hapa maana wengine hatukufuatilia hesabu za upigaji kura
 
Namaanisha mbili ya watatu.. hamjaelewa tu kwa nini kanuni hiyo imewekwa?
 
Mkuu tupe basi taarifa kamili, wengine hatuna namna ya kujua kinachoendelea kwa sasa.

Tumebaki kung'aza macho JF kutwa nzima...

Tupe raha angalau roho zitulizane mkuu!

Kwa Wajumbe waliomo Bungeni,6 kutoka Zanzibar wamesema HAPANA. 2 ya 3 imegoma
 
Wakuu mwenye taarifa zisizo na shaka pls tuhabarishane, vp Sitta kaumbuka tuanze kuimba nyimbo na mapambio?.........Nahisi kushindwa kwa shetani huko kuzimu.
 
asilimia kubwa ya wajumbe toka bara ni kama wana upungufu wa akili, kuna wenye elimu kubwa lakn njaa zao zinawafanya washindwe kutumia ipasavyo elimu zao, ndo maana wasomi wetu wanadharaulika ndani na nje ya bunge.
 
Habari zisizo rasmi, wajumbe waliopiga kura za siri wameapa kuzilinda kura kwa gharama yeyote ile. Hatukubali uchakachuaji kamwe. Zanzibar Oyee!
 
Back
Top Bottom