Asanteni Wazanzibari, nawapenda sana

Asanteni Wazanzibari, nawapenda sana

asilimia kubwa ya wajumbe toka bara ni kama wana upungufu wa akili, kuna wenye elimu kubwa lakn njaa zao zinawafanya washindwe kutumia ipasavyo elimu zao, ndo maana wasomi wetu wanadharaulika ndani na nje ya bunge.[/QUOTE

Viongozi wengi wa bar a haya maccm wengi wao wana PHD(Pure Head Damage) wakiongozwa na kikwete anayejiita dr na sitta adui no1 wa tanganyika
 
Na kweli pure head damage.
 
Mungu huwa hawakopeshi wadhalimu kamwe. Ukweli utadhihirika muda si mrefu na wenye maoni yao watashinda, i e wananchi .
 
Tunawafuatilia.
Tusaidieni kulinda heshima ya Tanganyika na Tume yetu. Kwakuwa wa kwetu
hawaeleweki,tunawategemea nyinyi. Wazanzibari mna rekodi ya kimapinduzi
na kuthubutu. Mkiamua mnaweza.

Nawaamini na kuwapenda sana Wazanzibari. Mungu awape nguvu msimamie
ukweli. Asanteni sana!

Sitta, Cheyo, Chenge, Wasira, Lukuvi na Komba leo mtapata usingizi?
 
Na Mungu awaumbue haya mashetani yanayochezea Kodi za watanzania. Yaani 2/3 ikigoma hakika Sitta atajificha chooni.
 
Waznz wamefanya nini?kura zina isabiwa muDa sio mrefu

Umeingiziwa mshahara mkuu? Naona kama umeandika kwa 'stress' za mwisho wa mwezi. Watu wameshahesabu zile za WAZI, na hesabu ya kukwamisha imekamilika.
 
asilimia kubwa ya wajumbe toka bara ni kama wana upungufu wa akili, kuna wenye elimu kubwa lakn njaa zao zinawafanya washindwe kutumia ipasavyo elimu zao, ndo maana wasomi wetu wanadharaulika ndani na nje ya bunge.

Wawakilishi wa vyuo vikuu watatu (UDSM, SUA, na Mzumbe) wote wamepiga kura ya wazi wakisema NDIYOOOOO. Kazi ipo.
 
Tulianza na Mungu na hadi hapa tulipo ni Mungu katufikisha na Tutamaliza na Mungu. intrahamwe kwisha kazi yao.
 
Wawakilishi wa vyuo vikuu watatu (UDSM, SUA, na Mzumbe) wote wamepiga kura ya wazi wakisema NDIYOOOOO. Kazi ipo.

Wametumia nafasi yao kikatiba bila kujali kama wamerubuniwa
 
Umeingiziwa mshahara mkuu? Naona kama umeandika kwa 'stress' za mwisho wa mwezi. Watu wameshahesabu zile za WAZI, na hesabu ya kukwamisha imekamilika.

Sawa laki kura zitajulikana kesho
 
by Masiya;
Wawakilishi wa vyuo vikuu watatu (UDSM, SUA, na Mzumbe) wote wamepiga kura ya wazi wakisema NDIYOOOOO. Kazi ipo.

Mkuu Masiya kama hutajali naomba majina yao hapa tafadhali,xx
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom