Asanteni wanaigunga kwa kutuletea ulaji Pugu

HGYTXK

Senior Member
Oct 3, 2011
194
70
Leo mtaani kwetu Pugu kajiungeni kulikuwa na sherehe ya kumpongeza Dr. Dalali Kafumu kwa kuchaguliwa kuwa mbuge wa Igunga.Huku ndio nyumbani kwake hivyo mavumba ya posho ndiko yatakotumika,poleni wanaigunga kwa kuambulia pombe,mahindi na tindikali,sisi twala.
Pokeeni asante yangu.
 

Pdraze

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
616
321
Lol wajinga ndo waliwao! Zile stimu za pombe zimekata,helicopter zizokuwa zinarandaranda angan zimepotea wamebaki kama marehemu akishazikwa..lakin atawakumbuka katika maombi
 

Chakunyuma

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
810
151
Nasikia wakati wa kampeni jamaa alienda na maji yake kuonesha kuwa sio mwenzao. Ila kesi akishindwa wanaigunga watakuwa na nafasi nyingine yakurekebisha makosa.
 

Naibili

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,688
470
yule ni dalali wao! sio mwakilishi, rungu alilokuwa anataka amelipata, siku wanastuka watakuwa wamechelewa.
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Mkuu unasema mmekula mpunga Pugu? Kweli CCM mwisho wa njia hakika duh .Haya enjoy mkuu
 

Butho Mtenzi

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
331
22
Kula Baata tu Mkuu mana siku zote wajinga ndio waliwao jana Manzese Mapokezi leo Pugu Mpunga. Igunga wanakula vumbi wakome na ukata wao mana ni wagumu kuelewa!
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Hakuna haja ya kuwaonea huruma watu wasiojua dhamani zao. Na bado watasota sana.
 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,443
kusema ukweli... Igunga hawastahili huruma yyte... Sijui walitegemea nini kutoka kwa rage, mkapa, kigwangallah, na wale walevi na mafuska wa night moves
 

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
230
Lol wajinga ndo waliwao! Zile stimu za pombe zimekata,helicopter zizokuwa zinarandaranda angan zimepotea wamebaki kama marehemu akishazikwa..lakin atawakumbuka katika maombi

Sidhan kama ni haki kuwabeza wana igunga kwa kuwa tu wameipa ubunge CCM. Wanaigunga wanatakiwa kupongezwa na kutiwa moyo kwa mapinduzi makubwa waliyofanya, kwan wameishusha CCM kutoka 72% okt 2010 hadi 50.5% sept 2011. Je, huu si ushindi? Achen uchangiaji wa kitoto ulojaa pumba tupu. Great thinker always think critically.
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
kaumza, nilidhani ccm walipata 49%? ama nimekariri matokeo rasmi aliyotoa nape? ngoja waipate fresh kwanza,hawajui kusoma hata picha hawakuielewa? na ningekua na mzazi kule hata krismas siendi,acheue mpunga usiokuwa na nyama wa ccm aliokula wakati wa uchaguzi!
 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,443
Sidhan kama ni haki kuwabeza wana igunga kwa kuwa tu wameipa ubunge CCM. Wanaigunga wanatakiwa kupongezwa na kutiwa moyo kwa mapinduzi makubwa waliyofanya, kwan wameishusha CCM kutoka 72% okt 2010 hadi 50.5% sept 2011. Je, huu si ushindi? Achen uchangiaji wa kitoto ulojaa pumba tupu. Great thinker always think critically.
critical thinking does not mean incremental thinking!!! NEVER
 

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,023
5,263
Mimi ni mwana igunga wanajamii sasa huo ni uzumbukuku,hivi ni nani alowambieni kua tunategemea chakula toka kwa mbunge?eti pugu tunakula so what?sisi kazi yetu ilikua kuchagua mbunge na tumemchangua,tulijitahidi sana kupiga kulele ili tumpata mbunge tunae mtaka lakin ilishdikana sasa mtu tena wa chadema anapo nyanyua kinywa nakutulaumu wanaigunga, nakosa iman kabisa,mtoto ajawahi kwenda shule unampeleka shule moja kwa moja anafanya mtihani wa darasa la nne anakua wakumi bado unamtandika viboko eti kafeli,kweli? ulitaka afaulu kwa kiwango gani?na kwa elimu gani ulompatia?pungu kuleni wali na masense kuleni wali ndo sisiem wote walivo kwani hata dr mwakyembe atujaambiwa anatoka nyumbani kwake mbeya bali nyumban kwake kunduchi mtongani dar es salaam kwenda India!!tuache kushabikia vyama tushabikie nchi yetu kwanza!
 

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,596
1,808
tusiwabeze wana Igunga bado tuna safari ndefu sana na wamejitahidi kufanya inavyowezekana lakini minyang'au imechakachua........
 

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,236
4,041
CDM bana! Igunga wamemchagua mtu waliyekuwa wanamtaka!!
Mmekosa mnaaanza kubwabwaja!! Poleni sana looserz wangu. Next time labda mtapata akili.
 

KUNYWA

Member
Sep 30, 2011
32
0
JASLAWS umeongea la maana katika hili.Kwani ni wabunge wengi tuu wa chama tawala na wa upinzani ambao makazi yao ya kudumu ni tofauti na ambapo majimbo yao wanayoyawakilisha.
 

Makamuzi

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
1,155
263
Leo mtaani kwetu Pugu kajiungeni kulikuwa na sherehe ya kumpongeza Dr. Dalali Kafumu kwa kuchaguliwa kuwa mbuge wa Igunga.Huku ndio nyumbani kwake hivyo mavumba ya posho ndiko yatakotumika,poleni wanaigunga kwa kuambulia pombe,mahindi na tindikali,sisi twala.
Pokeeni asante yangu.
Kula mwana,wana igunga walikitaka hicho wataendelea kusota juani km solar power
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom