Mimi ni mwana igunga wanajamii sasa huo ni uzumbukuku,hivi ni nani alowambieni kua tunategemea chakula toka kwa mbunge?eti pugu tunakula so what?sisi kazi yetu ilikua kuchagua mbunge na tumemchangua,tulijitahidi sana kupiga kulele ili tumpata mbunge tunae mtaka lakin ilishdikana sasa mtu tena wa chadema anapo nyanyua kinywa nakutulaumu wanaigunga, nakosa iman kabisa,mtoto ajawahi kwenda shule unampeleka shule moja kwa moja anafanya mtihani wa darasa la nne anakua wakumi bado unamtandika viboko eti kafeli,kweli? ulitaka afaulu kwa kiwango gani?na kwa elimu gani ulompatia?pungu kuleni wali na masense kuleni wali ndo sisiem wote walivo kwani hata dr mwakyembe atujaambiwa anatoka nyumbani kwake mbeya bali nyumban kwake kunduchi mtongani dar es salaam kwenda India!!tuache kushabikia vyama tushabikie nchi yetu kwanza!