Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 373,018
- 864,149
Kuna kitu kilichokuwa kimekosekana nchini..
Furaha ya kweli, Furaha ya asili
Furaha halisi
Furaha at free will..! Furaha ya hiari
Watu Leo wamerindima na kufefea vibe kama lote toka moyoni
Makusanyiko ya hivi karibuni pamoja na kuwa na rangi yenye kumaanisha uhai.. Lakini yalikuwa makusanyiko mfu.. Yaliyobeba mirindimo ya ufu! Nyuso zilizochoka! Taswira zinazoakisi., maswali, hofu na sintofahamu.. Ni kama kusanyiko la makaburini kwenye ibada ya mazishi
Baada ya miezi kadhaa ya huzuni, fadhaa majonzi na ukiwa leo Tanganyika imeonesha tabasabu.. Waliojaribu kupiga simu kwa maslahi binafsi walipotezewa vibaya sana! Nadhani wamejifunza kwa njia ngumu.
Pia soma Mashabiki wa Simba wagoma kumshangilia Rais Samia akitoa salam katika tukio la Simba day
Vibe la ushindi halikuwa kubwa kama vibe la kukutana rangi zote, imani zote, itikadi zote! Bila kupangiwa bila kutishwa bila kuongozwa
SIMBA DAY imelifanya taifa litabasamu.. Nimeona watanzania wakiwa na furaha isiyo na vigezo wala masharti wala mabunduki na umbwa ya kutisha
Asanteni sana SIMBA kwa kutukumbusha furaha iliyopotea