Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,292
- 6,783
😎😎
Ukijazwa Roho Mtakatifu anakuongoza na kukufundisha unapoisoma Biblia. Sio rahisi kudanganywa hata wahuni wakipandikiza vitu vyao utajua.Uje uombe msamaha kwa kile unachohubiri toka kwenye Bible iliyotafsiriwa na kupandikizwa uhuni mwingi.
Maumbile, mchanganyiko wa vizazi, na mabadiliko ya kijiografia yanabadilisha rangi.Kwanini Waizraili waliondoka weusi na Sasa wamekuwa weupe ?
Israeli ilikuwepo tangu nyakati za Biblia. Mwaka 1948 ni mwaka ambao ilirudishwa tu kama taifa la kisiasa.Taifa lililokuwepo miaka Zaid ya 3000 ila likaanza 1948 ?
Ramani nyingi za kale zilikuwa na makosa ya kijiografia; Israeli ipo Asia ya Kati, sio Afrika.Jina la hapo panapoitwa Israel kuanzia miaka ya 1500 ukitumia Ramani potepalikuwa Africa, Je walikuwa wapi hao waisrael ?
Eden haikuwa jangwani, ilikuwa bustani nzuri sana. Dhambi za wanadamu ndizo zilizoifanya dunia iwe na mapungufu.Mungu gani aliweka Eden Jangwan ?
Mungu ametupatia free will, lakini pia siku ya mwisho atawahukumu wote wenye kudhulumu.Kwanini aruhusu uporaji was ardhi na asiumbe Kama alivyoiumba Dunia ?
Kuna tofauti kubwa: amri za Mungu ni takatifu, na alimtoa Mwanawe afe kwa ajili yetu ili sisi tuwe na uzima. Na hata alipokufa, alishinda mauti, akafufukaKwann Mungu wa kwenye biblia anafanana na wanasiasa ....Anasema usiue ila yeye akamuuwa mwanaye ?
Yesu alikufa kimwili tu, lakini Uungu wake haukufa; kifo chake kilikuwa njia ya wokovu.Yesu ni Mungu , Je Mungu anakufa ?
It is a curious exhibition of semantic shallowness that you would so unceremoniously brand as rubbish the sacred discipline of eucharistic acknowledgment, which in the hierarchy of virtues occupies an apex unsurpassed. To depreciate thanksgiving is not merely a lapse of civility, but a profound abdication of metaphysical sobriety, for the human spirit is never so ennobled as when it bows in reverent gratitude. The oracular injunction stands immovable: 'In everything give thanks; for this is the will of God in Christ Jesus for you' (1 Thessalonians 5:18). That which your tongue belittles as rubbish is, in fact, the immutable ordinance that dignifies mortality with eternal significance.Rubbish.
YhSasa hiyo chopa yako mbona haina uhusiano na mada hii? Au unataka kutuambia kuwa unatumia Meta AI free version kuchora picha zako?
Mi nimependa tu kapicha ka ndege na rangi yake.Safari yetu katika ndege hii ya "JF Airlines" inaendelea vyema mno. Abiria tunajisikia raha kwa sababu hatusikii mawimbi wala mitikisiko ya kututia hofu. Yote hii ni kwa sababu ya uongozi imara wa Captain wetu DoubleM pamoja na crew wake mahiri wanaojituma kuhakikisha kila abiria anafurahia safari.
Nawashukuru kwa namna mnavyoongoza ndege hii kwa hekima, upendo na uvumilivu, kuhakikisha kila mmoja anafika anapokusudia bila matatizo. Bila nyinyi, safari hii isingekuwa yenye furaha na utulivu kama ilivyo sasa.
Ndugu abiria wenzangu, msisubiri mpaka ndege itue ndio mshukuru. “Shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ndiyo mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.” (1 Wathesalonike 5:18)
May the Lord watch over every passenger on this plane, and grant us a safe journey.
View attachment 3466043
Thanks to allSafari yetu katika ndege hii ya "JF Airlines" inaendelea vyema mno. Abiria tunajisikia raha kwa sababu hatusikii mawimbi wala mitikisiko ya kututia hofu. Yote hii ni kwa sababu ya uongozi imara wa Captain wetu DoubleM pamoja na crew wake mahiri wanaojituma kuhakikisha kila abiria anafurahia safari.
Nawashukuru kwa namna mnavyoongoza ndege hii kwa hekima, upendo na uvumilivu, kuhakikisha kila mmoja anafika anapokusudia bila matatizo. Bila nyinyi, safari hii isingekuwa yenye furaha na utulivu kama ilivyo sasa.
Ndugu abiria wenzangu, msisubiri mpaka ndege itue ndio mshukuru. “Shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ndiyo mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.” (1 Wathesalonike 5:18)
May the Lord watch over every passenger on this plane, and grant us a safe journey.
View attachment 3466043
Rubbish.It is a curious exhibition of semantic shallowness that you would so unceremoniously brand as rubbish the sacred discipline of eucharistic acknowledgment, which in the hierarchy of virtues occupies an apex unsurpassed. To depreciate thanksgiving is not merely a lapse of civility, but a profound abdication of metaphysical sobriety, for the human spirit is never so ennobled as when it bows in reverent gratitude. The oracular injunction stands immovable: 'In everything give thanks; for this is the will of God in Christ Jesus for you' (1 Thessalonians 5:18). That which your tongue belittles as rubbish is, in fact, the immutable ordinance that dignifies mortality with eternal significance.
Na hizi zilizokosolewa juzi zipikuwa sahihi ?Ramani nyingi za kale zilikuwa na makosa ya kijiografia; Israeli ipo Asia ya Kati, sio Afrika.
Uzima UPI huo ?uzima
Roho yupi?Roho inakataa wewe sio mlokole