Asanteni sana Pilot na Crew wa JamiiForums

Asanteni sana Pilot na Crew wa JamiiForums

kwa nini unaanzisha halafu unakuwa na majibu radical hivyo?
Sio radical. Kila jambo lina wakati wake. Wakati wa kutoa shukrani uwe wa shukrani, usichanganye masomo
 
Vijana aina ya Mello wana mchango mkubwa sana katika taifa 👏
 
Safari yetu katika ndege hii ya "JF Airlines" inaendelea vyema mno. Abiria tunajisikia raha kwa sababu hatusikii mawimbi wala mitikisiko ya kututia hofu. Yote hii ni kwa sababu ya uongozi imara wa Captain wetu DoubleM pamoja na crew wake mahiri wanaojituma kuhakikisha kila abiria anafurahia safari.

Nawashukuru kwa namna mnavyoongoza ndege hii kwa hekima, upendo na uvumilivu, kuhakikisha kila mmoja anafika anapokusudia bila matatizo. Bila nyinyi, safari hii isingekuwa yenye furaha na utulivu kama ilivyo sasa.

Ndugu abiria wenzangu, msisubiri mpaka ndege itue ndio mshukuru. “Shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ndiyo mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.” (1 Wathesalonike 5:18)

May the Lord watch over every passenger on this plane, and grant us a safe journey.

View attachment 3466043
Shukuruni JF siyo chombo cha KOBAZI ...kama sivyo zamani mngesha uzwa na waisiharamu kwa abdul na mafwele ...JF ingekuwa inamilikiwa na SAMEREKO ingekuwaje ? Mlisha wahi kujiuliza ilo swali ? Nikiwaambia watu hapa JF waislamu ni adui wa uzalendo wanabisha ....
 
Nikiwaambia watu hapa JF waislamu ni adui wa uzalendo wanabisha ....
Adui yetu ni mmoja tu: shetani. Huyo tukikutana naye ni wa kupewa kipigo cha mbwa koko. Lakini wanadamu wenzetu tunatakiwa kuwapenda kama jinsi tunavyozipenda nafsi zetu
 
Adui yetu ni mmoja tu: shetani. Huyo tukikutana naye ni wa kupewa kipigo cha mbwa koko. Lakini wanadamu wenzetu tunatakiwa kuwapenda kama jinsi tunavyozipenda nafsi zetu
Shetati siyo jambo au kitu moja ni mambo mengi
 
Watch out for people like this—those who refuse to give thanks, for in this cabin of life, ingratitude is the turbulence that can shake one off the will of God
Uje uombe msamaha kwa kile unachohubiri toka kwenye Bible iliyotafsiriwa na kupandikizwa uhuni mwingi.

Kwanini Waizraili waliondoka weusi na Sasa wamekuwa weupe ?

Taifa lililokuwepo miaka Zaid ya 3000 ila likaanza 1948 ?

Jina la hapo panapoitwa Israel kuanzia miaka ya 1500 ukitumia Ramani potepalikuwa Africa, Je walikuwa wapi hao waisrael ?

Mungu gani aliweka Eden Jangwan ?
Kwanini aruhusu uporaji was ardhi naasiumbe Kama alivyoiumba Dunia ?

Kwann Mungu was kwenye biblia anafanana na wanasiasa ....Anasema usiue ila yeye akamuuwa mwanaye ?
Yesu ni Mungu , Je Mungu anakufa ?
 
Tafuta kazi ya kufanya,
Ukikosa kazi tafuta ki Gen Z kimoja kikutoe hizo genye zinazokutia uchizi.
 
Back
Top Bottom